CMBC Mlalahoi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 222
- 69
hao hata wakiwa kwenye mazoezi yale ya kupasha barabarani asubuh huwa najiweka kando na kunyosha mikono juu mpaka wapite
Nidhamu ya uoga
hao hata wakiwa kwenye mazoezi yale ya kupasha barabarani asubuh huwa najiweka kando na kunyosha mikono juu mpaka wapite
Ni Tanzania tu ambako mwanajeshi anajiona mungu mtu. Kwani wangemuonya pasipo kumpiga ingekuwaje??
Nafikiri tangu nyerere kuna kosa lilifanyika mahali. Mwanajeshi , polisi ni watu wa kawaida kabisa na kwa nini jamii inajenga dhana kuwa ni watu wa kuogopwa ?? Huu ni ujinga.
kama hujui usiseme usichokijua .ni hivi gari za polisi au jeshi ziangalie kwa mbele kwa nje upande wa kulia zimechorwa mduala mkubwa warangi nyekundu au nyeupe au njano alama hii inamaanisha kwamba gari hili inapobidi linaruhusiwa kupita barabarani bila kufata site yake.usishangae kupita hata usio kuwa upande wake.vyombo hivi vya usalama ni ruksa kufanya hivyo
Sijaona kosa la huyo dogo na vile vile hao wanajeshi waache ujinga na nyie mnaoshabikia acheni ujinga kitendo kilichofanyika ni kinyume za haki za binadamu.
AiseeeeeeeeNduguyangu sio wanajeshi tu, hata mimi binafsi sipendi mtu simjui alafu anipige picha, aniipeleka wapi nini maelezo yake huko atakako iweka. Labda iwe nimeshindwa kumdhibiti tu, kama yupo ndani ya uwezo wangu kufa hafi ila chamoto atakiona.