Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,568
Anapenda watu waishi kImaskini na umaskin mkubwa ndio furaha yake
Huyu mtu kwa nyinyiemu ni kwikwi!!! Kama yoote hayo anayo huyo mtu mmoja anawaogopesha nini kumpeleka kwenye sheria kama kina Mramba au ikatumika style ya kina Mdee? Au kiwewe alichowaachia ndo kinawawewesesha mpaka leo???
Wewe unataka kuona sifa za Lowasa
1. Ni fisadi papa
2. Ana uchu wa madaraka
3. Afya haimruhusu kuwa Raisi
4. Amezeeka
5. Amenunua chadema
6. Ana ukanda
Huyu mtu kwa nyinyiemu ni kwikwi!!! Kama yoote hayo anayo huyo mtu mmoja anawaogopesha nini kumpeleka kwenye sheria kama kina Mramba au ikatumika style ya kina Mdee? Au kiwewe alichowaachia ndo kinawawewesesha mpaka leo???
Ushauri wa bure: Acheni kufukuza upepo...
Duh bora lowassa hana ya uzinzi...huyo mzee wenu mnayemwabudu kama mungu mtu nasikia kamtia hadi shemeji yake
Wewe unataka kuona sifa za Lowasa
1. Ni fisadi papa
2. Ana uchu wa madaraka
3. Afya haimruhusu kuwa Raisi
4. Amezeeka
5. Amenunua chadema
6. Ana ukanda
Mnajitahidi sana kufunika nyeti za kuku lakini upepo ndio unazidi kunyanyua manyoya ya mkia!! Kila unachoaminishwa unakiamini??? Au ndio swali la Mwalimu Jomo Kenyatta Airport "nikikwambia mimi ni baba yako utakubali?" Za kuambiwa changanya na zako! Ikiwa mnaimba nyimbo msizozijua yanini basi msinyamaze???
Kuanzia number 2 hadi 6 hatakiwi kufikishwa mahakamani bali anatakiwa asigombee kwa mapungufu hayo.
No 1 waliyotuaminisha hivyo na waliyompa sifa hiyo ni nyie wenyewe chandim
Uzinzi kwa mwanamme ni sifa nzuri.Duh bora lowassa hana ya uzinzi...huyo mzee wenu mnayemwabudu kama mungu mtu nasikia kamtia hadi shemeji yake
Natumai mpaka hapo wengi wameshakuelewa Mkuu!Uzinzi kwa mwanamme ni sifa nzuri.
Wewe utakuwa mwanamme gani usiyeweza kuwafyatua.
Na ndiyo maana hata Jeshini ili uajiliwe lazima upimwe utimamu wako wa kuwashughulikia.
Awamu ya kwanza haikuwa na mapungufu!!! CCM haijapata kukosa mapungufu kwenye tawala zake siku zote wako kwenye majaribio na hadaa zisizoishaUko sahihi, naanza kumwelewa raisi, tufanye porojo na utani wote lkn ukweli anauthubutu kuliko awamu ya 4,3 na mbili. Atatufukisha mahali pazuri. Anamapungufu yake ,tukumbuke ni binadamu wa kawaida.
Wanapimaga na utimamu wa kuwatia hadi shemeji zakoUzinzi kwa mwanamme ni sifa nzuri.
Wewe utakuwa mwanamme gani usiyeweza kuwafyatua.
Na ndiyo maana hata Jeshini ili uajiliwe lazima upimwe utimamu wako wa kuwashughulikia.