Sifa Maalum alizonazo Rais Magufuli

Sifa Maalum alizonazo Rais Magufuli

Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:

1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
Mjenga = to mjenga chuki
 
Hiyo no 3 hana ujomba ni Rubbish kabisa..
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw Dotto James ni mtoto wa dada yake kabisa..
Acha kujiacha mtupu kwa kuandika upuuzi.
Kama sifa anazo sio dhambi kumpa nafasi hiyo. Kwa hivyo ukiwa ndugu wa Raisi hutakiwi kuajiriwa na serikali?
 
Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:

1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
Anamini katika malengo Na matokeo
 
Magufuli toka alipomkingia kifua Zero brain, pale pale alipoteza sifa ya kuendelea kuwa Rais.
 
  • Thanks
Reactions: BAK




Acha uzushi wa kumsifia dikteta uchwara.

Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:

1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
 
Wadau
nami nimeufuatilia
utendaji kazi wa
Rais Magufuli
nimebaini ana sifa
maalum zifuatazo:
1. Ana Uchama wa kupindukia.
2. Sio mzalendo
3. Ana double standard
4. Anajua kuwateka wavivu wa kufikili
5. Hana uchungu wowote na rasilimali za nchi
6. Akisema
hamaanishi.
7.anatabirika
8. Hajadhamiria
kushughulika na
mifupa ilomshinda
fisi
9.ni remote control wa bunge.
10. HAshauriki
ukimshauri vya
maana.
 
Hana sifa ya uongozi, memory card yake inatabia ya kujifomati na ku restart..,chuki na wivu alizaliwa navyo,hajawahi fanikisha jambo kwa 100 %,ni mkurupukaj,huwa hana hoja za maana..

India wameondoka na Ubongo wa Spika
 
Back
Top Bottom