Sifa Maalum alizonazo Rais Magufuli

Wewe unataka kuona sifa za Lowasa
1. Ni fisadi papa
2. Ana uchu wa madaraka
3. Afya haimruhusu kuwa Raisi
4. Amezeeka
5. Amenunua chadema
6. Ana ukanda
Huyu mtu kwa nyinyiemu ni kwikwi!!! Kama yoote hayo anayo huyo mtu mmoja anawaogopesha nini kumpeleka kwenye sheria kama kina Mramba au ikatumika style ya kina Mdee? Au kiwewe alichowaachia ndo kinawawewesesha mpaka leo???

Ushauri wa bure: Acheni kufukuza upepo...
 
Kuanzia number 2 hadi 6 hatakiwi kufikishwa mahakamani bali anatakiwa asigombee kwa mapungufu hayo.

No 1 waliyotuaminisha hivyo na waliyompa sifa hiyo ni nyie wenyewe chandim
 
Wewe unataka kuona sifa za Lowasa
1. Ni fisadi papa
2. Ana uchu wa madaraka
3. Afya haimruhusu kuwa Raisi
4. Amezeeka
5. Amenunua chadema
6. Ana ukanda
Duh bora lowassa hana ya uzinzi...huyo mzee wenu mnayemwabudu kama mungu mtu nasikia kamtia hadi shemeji yake
 
Kuanzia number 2 hadi 6 hatakiwi kufikishwa mahakamani bali anatakiwa asigombee kwa mapungufu hayo.

No 1 waliyotuaminisha hivyo na waliyompa sifa hiyo ni nyie wenyewe chandim
Mnajitahidi sana kufunika nyeti za kuku lakini upepo ndio unazidi kunyanyua manyoya ya mkia!! Kila unachoaminishwa unakiamini??? Au ndio swali la Mwalimu Jomo Kenyatta Airport "nikikwambia mimi ni baba yako utakubali?" Za kuambiwa changanya na zako! Ikiwa mnaimba nyimbo msizozijua yanini basi msinyamaze???
 
Duh bora lowassa hana ya uzinzi...huyo mzee wenu mnayemwabudu kama mungu mtu nasikia kamtia hadi shemeji yake
Uzinzi kwa mwanamme ni sifa nzuri.
Wewe utakuwa mwanamme gani usiyeweza kuwafyatua.

Na ndiyo maana hata Jeshini ili uajiliwe lazima upimwe utimamu wako wa kuwashughulikia.

Natumai mpaka hapo wengi wameshakuelewa Mkuu! :D:D:D
 
Uko sahihi, naanza kumwelewa raisi, tufanye porojo na utani wote lkn ukweli anauthubutu kuliko awamu ya 4,3 na mbili. Atatufukisha mahali pazuri. Anamapungufu yake ,tukumbuke ni binadamu wa kawaida.
 
Awamu ya kwanza haikuwa na mapungufu!!! CCM haijapata kukosa mapungufu kwenye tawala zake siku zote wako kwenye majaribio na hadaa zisizoisha :D:D:D

Ama tukijisahaulisha kuwa watu walipata kuvaa magunia kwanini Wapinzani... ukiwa na Colgate au Rexona unashtakiwa! Sera ya Wapinzani!!! Sukari mwisho kununua robokilo kwa wiki!! Wapinzani Ukimiliki TV Mhujumu nk. Wapinzani... Ukweli utabaki kuwa zote hizo ni gharama ambazo zililetwa na CCM katika utawala wake!Historia HAIFUTIKI Ila tunasahaulishwa!!!
 
Uzinzi kwa mwanamme ni sifa nzuri.
Wewe utakuwa mwanamme gani usiyeweza kuwafyatua.

Na ndiyo maana hata Jeshini ili uajiliwe lazima upimwe utimamu wako wa kuwashughulikia.

Wanapimaga na utimamu wa kuwatia hadi shemeji zako
 
Back
Top Bottom