Sifa Maalum alizonazo Rais Magufuli

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
850
Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:

1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
 
Rubbish, takataka! by TL
 
Full of Rubbish
 
Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:
MJENGA, naomba nikuulize swali moja, toka Magufuli aingie madarakani, je umewahi kuukosoa utendaji wake hata mara moja? Kama umewahi kufanya hivyo naomba nijue jambo lenyewe lilihusu nini. Nina hamu sana ya kujibu thread uliyoianzisha hivyo nakupa fursa hii niweze kujua pa kuanzia. Kwa tahadhari tu kumbuka JF inatunza kumbukumbu.
 
Wadau nimeufuatilia utendaji kazi wa Rais Magufuli nimebaini ana sifa maalum zifuatazo:

1. Hana Uchama bali uchapakazi tu.
2. Ni mzalendo
3. Hana ujomba wala ubabu kwenye kazi
4. Ana lengo moja tu la kudiscipline.
5. Ana uchungu na rasilimali za nchi
6. Akisema anamaanisha.
7.Hatabiriki
8. Amedhamiria kushughulika na mifupa ilomshinda fisi
9.Haamini katika kushindwa
10. Anashaurika ukimshauri vya maana.
11.Anajua kila kitu
 
Wale wanatamani kufanya nae kazi hadi wanamuomba awateue...eeeeeeh upinzani huo lazima ni Chadema namba moja.... ha ha ha haaaa

Hapa kazi tu

Mungu azidi kumuongoza

Magufuli 2020

Magufuli oyeeeeee
 
Hiyo no 3 hana ujomba ni Rubbish kabisa..
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw Dotto James ni mtoto wa dada yake kabisa..
Acha kujiacha mtupu kwa kuandika upuuzi.

ongeza na bashite ana zero na kufoji vyeti ila hakuna anayemgusa kisa kakingiwa kifua masukuma mwenzake
 
Wale wanatamani kufanya nae kazi hadi wanamuomba awateue...eeeeeeh upinzani huo lazima ni Chadema namba moja.... ha ha ha haaaa

Hapa kazi tu

Mungu azidi kumuongoza

Magufuli 2020

Magufuli oyeeeeee

We kwa kuandika uharo unaongoza sidhani kama ulienda shule

Embu rudia kusoma ulichoandika sijui ni uharo au matapishi
 
Back
Top Bottom