Sifa 10 za mwanamke bora wa kuoa

Eeh gawa sasa uone akishapata kama atarudi tena, ila usigawe uone kama hatakuwa anakusumbua kila mara. Sio mawigi tu, tutasifia mpaka funza mpaka upatikane tu.
 
Eeh gawa sasa uone akishapata kama atarudi tena, ila usigawe uone kama hatakuwa anakusumbua kila mara. Sio mawigi tu, tutasifia mpaka funza mpaka upatikane tu.
Mkuu sigawi na ashachukua hamsini zake
Kumbe Hili la mawigi Ni kweli kwamba mnayapenda ila hapa mnatudanganya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasiye na tamaa, Hasieyumbishwa na mali [emoji111]
Ila hayo maelezo yaliyoendelea baada ya hapo [emoji2357]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hayo jamaa kazingua au sio!

Halafu #7 sikuona[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi unadhani hizi sifa zote ni za viumbe hai kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…