Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Kama wasabato tu, mapanki Kwenda mbele.Hadi hereni ni kitu fake hakitakiwi kuwepo mwilini?
Amka unawe uso halafu ufikirie tena. By the way Ahsante kwa maneno murua
Hata huko Tz pameharibika si unajionea hali ilivyo huko vijiweni vya Instar, Facebook Snapchat nkAfrika wapo wengi, Wapo wengi tuuu tanzania. Kabla shetani hajawaharibu jipatie wa kwako...
Na wewe akikuomba Ndogo utatoa?!Kama hatoi ndogo hafai. Akiwa anableed halafu wewe unataka itakuaje sasa?
Yaani wanaume acheni uongo.wanaume sio hawawezi bali ndio anatambua thamani yako iwapo ukiwa strong. Huwa tunachanganyikiwa sawa tukishindwa kumshawishi msichana na huwa kweli tunamfuatilia mtu mpaka miaka 9 na kweli toka ndani ya moyo, huwa tunaheshimu sana wasichana unique na wagumu na wababe kidogo. Asikudanganye uimara ni silaha.
Hiyo #14[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]11: wakati mimi naangalia Discovery science, National geographic, supersports, BBC/Aljezeera, Smithsonian channel, Investigative Discovery nk yeye aombe rimoti kuweka soaps, fashion, mziki laini nk
12: mi nikinunua Ford Ranger wildtrac la kutembelea yeye aombe nimnunulie opa, nadia na nyingine kama hizo sio land cruiser mkonga
13: asijue vitu vingi kuliko mimi katika sphere zote za maisha labda alichosomea tu nacho tunapokuja kwenye experience ya kile kitu mtaani natakiwa nimzidi..
14: awe muoga wa vyote vinavyotisha kuanzia wanyama, movie, giza nk sio mnaigiliwa na nyoka ndani mkeo ndo anamuua halafu anakuwa anamshika anatishia kukurushia. Always anitambue kama mlinzi na kiongozi katika kuyakabili haya yanayomtisha
Cc
Likud
Khe pole.Mpendwa unaweza kuwa na sifa hizo ila bahati huna mfano mimi sina bahati yaani.
Pole kuhusu nini mkuu
Hii kweli inawezekana Mpendwa ila siunajua kila mwenye kusubiri yu pamoja na Allah!Mpendwa unaweza kuwa na sifa hizo ila bahati huna mfano mimi sina bahati yaani.
πππHiyo #14[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa story zake huwa zinaendana na zako tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe unayo mkuu?Asee umesahau bikra utaoaje mwanamke ambae alikua mzinzi ebu tuiongezeni hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini subra huvuta kheriHii kweli inawezekana Mpendwa ila siunajua kila mwenye kusubiri yu pamoja na Allah!
Muda wako umefika niamini
Akijibu ni tag mpendwaWewe unayo mkuu?
hujachoka tu kurudi??ππππntarudi
Hittin Blunts and Bustin Nuts
Sawa Mpendwa tutaongea vizuri π€Naamini subra huvuta kheri
πππ umeanza sasa
Ila hapa wataongea kinafiki kusapoti madaHiyo namba 9 ndo wanaume wengi hawaitaki