Siendi tena TAESA

Siendi tena TAESA

metudi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
150
Reaction score
72
Jana nilienda TAESA kuulizia maswala ya kazi, cha ajabu nimekuta ofisini watu wanapiga zogo kama wapo Bar na dharau zimewajaa. Hakuna anayekujali, na ofisi zipo ovyo ovyo na midada tu imekaa kihasara hasa inapiga stori za umbea tu.

Seriousness hakuna.
 
hahaaa hao me nilishawahi kuwatupia mitusi mwaka 2011, wana nyodo utafikiri wana mijihela kumbe na wenyewe waganga njaa tu
 
Hata mimi naona kama serikali inapoteza pesa bure kuweka kitengo cha kuwatafutia watu ajira kama TAESA,waajiriwa wa TAESA ni wengi ni wanawake wenye kujisikia na hawana hata chembe ya customer care,nadhani watakuwa ni vyakula vya wakubwa fulani,ndio maana wana jeuri,ngoja Oktoba ifike tuone atakaye shinda bado ataendelea kuwafuga!!!
 
Wana majibu ya dharau sana wale wadada yaani wanajidai sana,
 
kwa zile dharau! inackitisha ofic ya serikal kufanya kaz namna ile alaf naona ata kazi za kufanya hawana wale wpo wpo tu
 
si hapo tuu,,,,,,ukweli ni kwamba serikali inatumia pesa nying sana kulipa wafanyakazi ambao hawaingizi chochote. ni tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria na kwa style hii serikali kupiga hatua kimaendeleo tusahau. anatakiwa mtu mmoja mwenye uchungu na serikali ili afumue kila kitu na kujenga upya. what we need is overhaul.
 
Welcome to Tanzania Employment Services Agency (TaESA). TaESA is an Executive Agency under Ministry of Labour and Employment established under the Executive Agency's Act, Cap 245 R.E .2002. It was established in the spirit of the government in converting some of its departments and units into executive agencies for the purpose of improving the delivery of public services, creating an environment conducive to efficient and effective management, improving the quality of employment services.


SL384968.JPG
 
Mwanzoni mwa mwezi huu nilimpgia simu mdada pale nikajieleza vizuri tu na badala yake alisema 'unabwabwaja maneno', sasa sikumuelewa ana maana gani, ila kwa hisia tu nilijua nimedharauliwa na kimsingi kama haujawahi kufika pale huwezi kujua matatizo yao.

Hivi serikali ina agency moja tu?
 
ofcoz ukfka pale ndio utawajua vzuri na ukiondoka lazma utajiulza tu kaz zao za kufanya ni zp coz mda wote wanapga stor
 
Boss mkubwa chandarubaaaaa angalia vijana wako hapo
 
Back
Top Bottom