Sielewii..... Ngwangwaruu...

Sielewii..... Ngwangwaruu...

Abeeeeh

Kwangwaru, nimewaza ati nataka kupiga deki huku nimesimama hahahhaha labda kwa kutumia mopa. Sasa uvunguni ntasafishaje..... hehehehehe shurti deki ulipige ukiwa umeinama.

Kwangwaru. ......Sielewii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua kunifurahishaaa maaaaa
 
Basi usiogope vya pool table,
 
Lete maneno mamaa casie

Maneno sina ila mashahiri ninayo nikiwa mwaka hapa ni sawa na kumwaga ulimbo. ... watu watanasa buree hehehehehehe

Jina langu linaanziwa na K sio C.
Kasie Matata mie sio casie banaa.
 
Maneno sina ila mashahiri ninayo nikiwa mwaka hapa ni sawa na kumwaga ulimbo. ... watu watanasa buree hehehehehehe

Jina langu linaanziwa na K sio C.
Kasie Matata mie sio casie banaa.
Angalia ulimbo usinase hd vidagaa
 
Ever smiling Kasie..
Tempting....!
 
Nimefarijika sana kwa maneno haya kama venye ulikua unaniandikia mimi. Asante sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom