Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Najua bado hujatoka uko kazini, ila siwezi acha kukuimbia nyimbo mbalimbal haswa za mahaba.
Ukitoka kazini utanikuta nakusubiri tayari kucheza mziki, leo ashiki zimenishika za kucheza mziki. Kila nikijiuliza maswali sipati majibu... nabaki kinywa wazi...Sielewi....
Hivi Kasie mie na ujanja wangu wote nimenasa kwake.... Sielewii ni kwelii... mahaba yake matamuu.
Njoo nikufundishe kucheza kwangwaru japo najua wewe wajua kucheza kunizidi.
Basi hapa ndo nshavaa dontachi tayari kucheza Kwangwaru.....
Huko uliko, ndiko nami nipo yaani ulipo nipo.
Kasie Albert T.