DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Wanajamvi,naombeni kuuliza,hivi kile kitu kinachojengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine?nisaidieni please mnaojua
😂😂😂😂 Mkuu wa mapambioMkuu sina kapicha Ila naamini kama upo mkoa huwa unakiona hicho kinachojengwa ubungo TBC pale wanapoimba pambio za kusifu awamu ya tano kupitia the so called kishindo cha serikali ya awamu ya Tano
Sasa wewe hata interchange yenyewe huijui then unaanza kushambulia wenzako kwamba tunamtindio wa akili na uwezo finyu wa kuchanganua mambo na wakati huo huo tukishindwa kujua kuwa interchange ni zaidi ya daraja na kwa maana hiyo is more efficiently than daraja sasa tunakusaidiaje sisi? Anyway kajifunze pale daraja la nyerere kigamboni kwenye makutano ya barabara ya Mandela probably utapata idea ya kile nachojaribu kusema badala ya kujimwambafay for nothingBaadhi ya watanzania akiwemo mleta mada wana mtindio wa ubongo. Uwezo finyu wa kuchanganua mambo na kujenga hoja..unatakiwa kuwa critical. Jiulize, je hizo minor changes (kama zipo) zimebadili purpose nzima ya ujenzi wa hiyo interchange? Alafu tuanzie hapo kujenga hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh tulikosa pesa hapo,mjenzi hawezi akabadirisha Rama Ramani ya mwenye nyumba kama mpunga wa kumlipa na wakununua material yanayohitajika ukiwa nayo.Basi mchina asivunje ile round about pale chini maana akiweka mataa tu,foleni kwa barabara za morogoro ukitokea Mbezi na barabara ya Mandela zitabaki kama zilivyo sasaSerikali ilibadili mawazo kuhusu mchoro wa kwanza.
Rejea
Tanroads explains change in design of Ubungo interchange
Tanzania National Roads Agency (Tanroads) on Wednesday August 29 defended its decision to change the design for Ubungo interchange, clearing the air over assumptions that it was caused by scarcity ofwww.thecitizen.co.tz
Mchoro wa kwanza gharama zilikuwa kubwa sana japo serikali inajitapa ina hela
Wala sio bridge its just a Tuta tuMie hata sielewi.. Pale mfugale walituambia ni flyover, kumbe ni MFUGALE BRIDGE
Sure lile ni tuta sasa ukiwasilikiza wanyonge wanavyosifia kuwa ni flyover unabaki kuacha waitwe wanyonge tu.
I see.Baadhi ya watanzania akiwemo mleta mada wana mtindio wa ubongo. Uwezo finyu wa kuchanganua mambo na kujenga hoja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lengo ilikuwa nini? kupunguza gharama au kuondoa foleni ubungo?Ukiangalia kwenye video ya kwanza iliyokaletwa nadhani designer alikuwa mwarabu, yeye aliweka makutano ya taa level 2 na level 3 ilikuwa ya moa kwa moja kutoka Mandela kwenda Mwenge, level ya chini ilikuwa ya moja kwa moja Kimara kwenda mjini. kuweka makutano level ya pili ilikuwa na madaraja nane, mawili kutoka kila njia na kuunganika katikati kwenye makutano. Hii ya sasa ya mchina level ya tatu imebaki vilevile, level ya 2 imekuwa ya moja kwa moja kimara kwenda mjini iliwa na madaraja manne kupisha vituo vya mwendo kasi ubungo na ubungo maziwa, sehemu ya makutano imeshushwa level ya chii kabisa, kwa hiyo kunapunguza mikia ya madaraja kutoka nane mpaka manne. Kwangu mimi zote ni design nzuri, mchina alichofanya ni kupunguza gharama.
kwani lengo ilikuwa kupunguza foleni au gharama?Ukiangalia kwenye video ya kwanza iliyokaletwa nadhani designer alikuwa mwarabu, yeye aliweka makutano ya taa level 2 na level 3 ilikuwa ya moa kwa moja kutoka Mandela kwenda Mwenge, level ya chini ilikuwa ya moja kwa moja Kimara kwenda mjini. kuweka makutano level ya pili ilikuwa na madaraja nane, mawili kutoka kila njia na kuunganika katikati kwenye makutano. Hii ya sasa ya mchina level ya tatu imebaki vilevile, level ya 2 imekuwa ya moja kwa moja kimara kwenda mjini iliwa na madaraja manne kupisha vituo vya mwendo kasi ubungo na ubungo maziwa, sehemu ya makutano imeshushwa level ya chii kabisa, kwa hiyo kunapunguza mikia ya madaraja kutoka nane mpaka manne. Kwangu mimi zote ni design nzuri, mchina alichofanya ni kupunguza gharama.
Mie hata sielewi.. Pale mfugale walituambia ni flyover, kumbe ni MFUGALE BRIDGE
Angalia michoro yote inakidhi mahitaji ya kupunguza foleni, mchina yeye alileta cha pili punguza gharamakwani lengo ilikuwa kupunguza foleni au gharama?
Nakumbuka hii[emoji3][emoji3]... Nahisi ndo yatakuja kutokea tena hapa ubungoMie hata sielewi.. Pale mfugale walituambia ni flyover, kumbe ni MFUGALE BRIDGE
Sasa wewe hata interchange yenyewe huijui then unaanza kushambulia wenzako kwamba tunamtindio wa akili na uwezo finyu wa kuchanganua mambo na wakati huo huo tukishindwa kujua kuwa interchange ni zaidi ya daraja na kwa maana hiyo is more efficiently than daraja sasa tunakusaidiaje sisi? Anyway kajifunze pale daraja la nyerere kigamboni kwenye makutano ya barabara ya Mandela probably utapata idea ya kile nachojaribu kusema badala ya kujimwambafay for nothing
Haya tuambie sasa ile pale tazara ni flyover au daraja?! Tuanzie hapo, kwako. InjiniaIvi unajua maana ya flyover ww???
Sometimes watu wanaongea bila kujua wanachokiongea
Maana ya flyover ni barabara inayopita juu ya barabara nyingine
Wanajamvi,naombeni kuuliza,hivi kile kitu kinachojengwa pale ubungo ndo kile kile ambacho Magufuli alituambia watani zake wazaramo tutapiga picha sana pale au kile ni kitu kingine?nisaidieni please mnaojua