Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
nifanyAje nimpaTeee sasaa arudi kundini?
Khee kumbe unalo kundi..!! Sababu nyingine hiyo ya kupigwa chini
nifanyAje nimpaTeee sasaa arudi kundini?
kutongoza umesahau??? nunua Giv au Ayu kabisa
NimeSahaU itaBidi niaNze mAzoezi yake. Hiyo GiV ndo bei gani??
HalaFu niMeeeskia SHOWER JELLLLY ndo siku hiZi zinaletaaa rahaaa zaiIdo.
balaa mjini
Jipange upya.
mmmh we mzoefu wewee!', ngoja zikubabue
NimeSahaU itaBidi niaNze mAzoezi yake. Hiyo GiV ndo bei gani??
HalaFu niMeeeskia SHOWER JELLLLY ndo siku hiZi zinaletaaa rahaaa zaiIdo.
Hivi niNi haSa sabAbuza wAnaWakE kuaMua kukatA mawAsiliaNo gHafla na waPenzi wao.
Nina Mpenzi waNgu ameamua kukAta mawasiliano ghafla sasa sijui Ni taBia ya kiKe au ndo niShaaachwa.
Naombeni mnipe ushAuri au sababU zinazosababisha mtu kukatiWa mawasiliAno ghafla na mPenzi wake.
Sikukuu zikishisha utamuona tu anarudi.
Polee.. labda kunakitu umemkosea bila kujua na alivyoona umepotezea ndo akaamua kununa.. just saying
Inawezekana umezidiwa kete
We Ndo Boya Kweli,
Kwa Mwandiko Huo Akupende Nani?