Sielewi nini tatizo labda mnisaidie

Sielewi nini tatizo labda mnisaidie

wanaangaliga upepo hao ,wakiona umezimika sana wanakuzingua.kama ulionyesha mapenzi sana kilamara unampigia simu anakuchukulia hunauwezo wakumpata mwingine,chamsingi kula buyu usimtafte utaona atakavyojirudi.
 
MkUu nimeHonGa niMetoA maheLaaa ilA ndo hIvyo no more Love Now for me. NkipatA binDukI ntAmRarua nKimUona

heeee wanawake wote hawa unataka kumuua mtu kisa umegharamika ,kuna watu tumegharamia mtoto ,mama na wadogize familia na bado tumetengana kwa sababu za kiulimwengu.
 
Hivi niNi haSa sabAbuza wAnaWakE kuaMua kukatA mawAsiliaNo gHafla na waPenzi wao.
Nina Mpenzi waNgu ameamua kukAta mawasiliano ghafla sasa sijui Ni taBia ya kiKe au ndo niShaaachwa.
Naombeni mnipe ushAuri au sababU zinazosababisha mtu kukatiWa mawasiliAno ghafla na mPenzi wake.

Maliza shule kwanza! Mapenzi baadae
 
Hivi niNi haSa sabAbuza wAnaWakE kuaMua kukatA mawAsiliaNo gHafla na waPenzi wao.
Nina Mpenzi waNgu ameamua kukAta mawasiliano ghafla sasa sijui Ni taBia ya kiKe au ndo niShaaachwa.
Naombeni mnipe ushAuri au sababU zinazosababisha mtu kukatiWa mawasiliAno ghafla na mPenzi wake.

Itakuwa ni ajabu kama usipo achwa.
 
utAki UnAaacha. Halafu hapa jf kumevamiwa na miwatyuuuyafesibuju na wanapostyiipumbaaa tyuu mpakajukwaaalimeanzaboa sikuhizi.
Teh Teh kusema ukweli ingekuwa ni vigumu wewe kuto achwa maana ni wazi uko rough! Unavyo kera watu kwa uandishi huu mbaya na wa ajabu ndivyo ulivyo mkera kwenye mambo mengine akakuchoka na kuamua kukuacha.

Kifupi una mambo ya kitoto achana nayo na hakuna atakaye weza kukuvumilia hakika.
Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom