Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

Sielewi kwanini kila binti mtaani ananiamkia shikamoo

Age ishakutupa mkono tyr. tuachie sisi serengeti boys tukimbize kitaani......te tehhh.... Shikamooo....Babuu
 
Ukiona demu anakuamkia, ujue kajenga ukuta wewe usiuvuke, hataki umtongoze! Mbona kuna vibinti siku hizi vinawasalim mijibaba kwa kusema MAMBO?
kumbe ndo maana nilimsalimia mtu fulani nikasema shikamoo akasema asante. Ntamjaribu tena leo ole wake nikutane nae
 
Hehehe, mwenzio ndio alikuwa anataka kuanzisha maongezi labda. Wazungu wanaita 'ice breaking'
Ila mostly hao mabinti wanaokaribisha wageni ama kufanya promo za biashara wana umri between miaka 20 to 25. Hakunaga mwenye 30, so hata wakiniamkia mi naitika kwa raha tu. Tatizo langu ni vijana wadogo wanaojifanya vidume na kudhani viatu vya kaka zao kina @Mbu vinawatosha. I wish wangekuwa wanatoa shkamoo manake hata ukidai hawataki!
Tuache utani mimi kuna sehemu moja ya starehe nimeingia weekend iliopita kuna mdada kasimama mlangoni kukaribisha wageni akaniamkia!!! Kusema ukweli aliniacha na maswali mengi sana!
 
kwanza kabisa hongera kwa umri ulionao bado unakaa kwa baba vilevile acha katabia ka kushobokea kila demu hapo street ole wako nikuone na na kimeo changu walah tena utajuta]
 
Waheshimiwa nashindwa kuelewa wasichana wengi hapa mtaani kwetu kupenda kuniamkia kitendo ambacho kinafanya nishindwe kuendelea na zoezi la kumtongoza binti husika

Sasa sijaelewa huenda wanadhan mm ni mtu mzima maana nina ka kitambi kwa mbaali, na pia napenda kuvaa mkanda nje, mayenu

Yaani hata wale wa rika moja na mm wananiamkia sasa hii tabia ya kuamkia hovyo hovyo imetoka wapi siku hizi? Mnatafuta nn haswaa, tunaanza kuzeeshana bila sababu ya msingi, mwamkie mzazi wako nyumbani bana
Umri umeenda kiongozi acha uhuni oa kijana muda unaenda
 
Hicho kitumbo ulichonacho,papaa mukulukulu unayopiga na hizo swaga za kiualimu wa upe ndio sababu unaonekana zilipendwa...hapo si ajabu una bonge la panki kichwani halafu mfuko wa shati una kalamu kama nne hivi na muda wote upo siriaz tu hakuna tabasamu hata la kukopa!!!.oooops nimesahau 'shikamoo bro'!.
Eti shikamoo bro ngoja nimpokelee jamaa hazitaki marahkhaaabaaa ile ya kiustadhi
 
Wewe ngoni au mmatengo? Kama sio basi taaluma yako itakuwa ya ualimu maana hizo pigo za "mayenu" Hahahah!
 
Kama una ndevu nyoa. Nyoa zote mpaka za kwapani, na za puani. Weka super black kicheani... Kama wewe ni wa mkanda nje mayenu, tongoza wanawake na siyo visichana ndiyo maana unaishia kupewa shikamoo.
 
Waheshimiwa nashindwa kuelewa wasichana wengi hapa mtaani kwetu kupenda kuniamkia kitendo ambacho kinafanya nishindwe kuendelea na zoezi la kumtongoza binti husika

Sasa sijaelewa huenda wanadhan mm ni mtu mzima maana nina ka kitambi kwa mbaali, na pia napenda kuvaa mkanda nje, mayenu

Yaani hata wale wa rika moja na mm wananiamkia sasa hii tabia ya kuamkia hovyo hovyo imetoka wapi siku hizi? Mnatafuta nn haswaa, tunaanza kuzeeshana bila sababu ya msingi, mwamkie mzazi wako nyumbani bana
Inawezekana kuna uliyempitia hapo kitaa katoa siri zako sasa wameamua kuwekea password
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom