malwalubighilis
New Member
- Oct 1, 2007
- 1
- 0
Hi,
Pole sana kwa kutokuelewa kwako kama wapendwa au vipi. Kwa maoni yangu ni kwamba huyo patina wako naona hachukui hatua za ziada kwa kukutofautisha wewe na mtu wa kawaida, kwanza inatakiwa akujali zaidi, atake care zaidi yani awe na matendo ya ziada kwako!!!!. Ukikohoa tu aitikie kujua kama una shida au umepaliwa. Mapenzi ni kitu kingine bwana, waweza kuwa kichaa.
Tchao