The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
- Thread starter
-
- #41
Hatuwezi kuwa kitu kimoja na liadriaz.Halafu mi najua ni mtu mmoja sema anatuzingua humu 😹😹
Kama 32 kweli bado dogo sanaHajavuka,,,nadhani ana 32, hao ni ile intake ya 2014, walichukuliwa form six mujibu wa sheria waliopata div one sayansi wakapelekwa kusomea military science, mwaka 2016 wakaveshwa nyota moja.
Mwanangu umewahi kwenda jeshi hata kwa mujibu?Captain wa jeshi sio Mdude ukamteke Kinyonge
Yule ana kundi kubwa wanajeshi wanaomtii, hakuna mbwa yoyote ya kupeleka pia kwake
Kasema Kabla ya tarehe 29 kama mabadiliko hayatokuwa yamefanyika, atarudi tena.. Haijalishi yupo angani au ardhini. Kaisha kiwasha tayariNa uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Hiyo movie kama ina baraka zote, ila inachezwa smart sanaaa.. Leo Rostam atshindia maunga yake tu, na airport zinabidi zipigwe pini hakuna kutoka 😅Umesikiliza ile clip? Umesikia background noices wakati anaongea? Mimi nimesikia ambulance mlio wa king'ora, inaonyesha yuko Dar. Pia nimesikia sauti ya muziki kwa sauti kubwa. BTW huyu huenda hakukurupuka. Anajiamini kabisa na kuna kitu kikubwa ambacho hatujii. Halafu walivyo wajinga wamemtumia yule mpambe wa Magufuli kutoa statement ya jeshi ili kuteka mioyo ya waliompenda Magufuli.
nimeanza kusoma leo asubuhi uzi uliopandishwa wa kuyajua majina ya kichaga. Jina la Tesha likawa linajirudiarudia sikujua ni nini na jioni hii nakutana na habari za tesha kapasua mbarika! main stream media ziko kimya kuhusu huyo tesha kana kwamba hazijaona!Leo kila kona Teshaa, Teshaaa Teshaaaa!
Col. Mlunga hajawahi kuwa ADC wa Magufuli.Umesikiliza ile clip? Umesikia background noices wakati anaongea? Mimi nimesikia ambulance mlio wa king'ora, inaonyesha yuko Dar. Pia nimesikia sauti ya muziki kwa sauti kubwa. BTW huyu huenda hakukurupuka. Anajiamini kabisa na kuna kitu kikubwa ambacho hatujii. Halafu walivyo wajinga wamemtumia yule mpambe wa Magufuli kutoa statement ya jeshi ili kuteka mioyo ya waliompenda Magufuli.
Sio kwa nchi hii,Captain wa jeshi sio Mdude ukamteke Kinyonge
Yule ana kundi kubwa wanajeshi wanaomtii, hakuna mbwa yoyote ya kupeleka pia kwake
Baada ya Mbowe kuwaangusha alivyoamua kugeuka chawa wa Samia.Ametuinua kweli wachaga.
Order Gani ya private kum arrest Captain?Mwanangu umewahi kwenda jeshi hata kwa mujibu?
Order ikitoka hata uwe nani lazima order ifanyike ndo baadae mambo ya cheo yafate..
So ikitolewa utembelewe unatembelewa VIZURI SANA.
Muda wa ukombozi umewadiaNa uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini.
Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga.
Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
Ndiyo unavyojipa matumaini siyo! Kwa taarifa yako ni askari halali mwenye cheo cha Captain! Yaani askari wa jeshi mwenye nyota 3!Halafu ukute sio afande hata
Kiongozi wa Tiieloesi kawaangusha!Wanyakyusa
Kwamba kazungukwa na wanajeshi Le Capetain....ukitaka kumkamata unakutana na wanaomzunguka.....Captain wa jeshi sio Mdude ukamteke Kinyonge
Yule ana kundi kubwa wanajeshi wanaomtii, hakuna mbwa yoyote ya kupeleka pia kwake
Hakuna takataka ya kusogea kwake Kigamboni kumkataKwamba kazungukwa na wanajeshi Le Capetain....ukitaka kumkamata unakutana na wanaomzunguka.....
Tehteh
Yule zombi hana neno njaa njaa TU zinamsumbuaNchi ikikombolewa sijui Chris Lukos atajificha wapi na Yale mazagazaga yake chakavu?
Je hule mnada wake wa November 15 utakuwepo kweli?
Sio kwa kipindi hiki na tension ya wananchi ipo highSio kwa nchi hii,
Unaweza kuanzisha hizo harakati lakini mwisho wa siku unajikuta uko peke yako.
Some soldiers are coward.