Side b of you | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Side b of you

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penelope, Oct 15, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Kuna baadhi ya mambo ambayo ni madogo ama makubwa unaeza kutendewa ukasikia hasira mpaka ukabadilika kabisa.Nafikiri wengi wetu tuna side mbili,unaweza ukamuona mtu ni mcheshi ana cheka kila wakati ila kuna side B ambayo inaweza kutokea anapokasirishwa kwa kiwango cha juu either na g/friend,boyfriend,mchumba,mke ama mume hata kwa jambo dogo tu ambalo hapendi kutendewa.....
  Mimi kitu ambacho sipend ni kudanganywa hata kwa jambo dogo ,wewe je?
   
 2. t

  tmasi de masio Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  kuibiwa
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Naogopa sana kufumaniwa kwani hali hii huweza kupelekea kujiona kuwa u mdanganyifu kwa mpenzi wako.
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sipendi kusalitiwa ama kudanganywa ukitaka kuona side b yangu jaribu hayo!
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Unafiki ambao kwa asilimia kubwa upo sana kwa sasa
   
 6. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  sipendi kuchukuliwa poa kwani huwa nikibadilika ni noma.....
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  my side b
  mimi bwana ukisema uongo!af nigundue unanidanganya!ah
   
 8. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Madame hapa sijakusoma vizuri hebu dadavua
   
 9. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ilishawai kutokea
   
 10. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  miesipendi when a gal makes me work for her K..
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kupenda na kujali ila nikichange hutoamini nakuchukia balaaa
   
 12. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Naogopa kutenda dhambi though shetani anashindana na mwili
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Dah, naogopa sana side B yangu
  Japo ni mara moja chache sana kufikia point hiyo
  lakini huamshwa vitu vidogo vidogo mno, kikijirudia kwa mara nyingi

  Hata huwa sijielewi
   
 14. ram

  ram JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,216
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Uongo na Kudanganywa hata kwa jambo dogo, hapo ndo utaiona side b yangu
   
 15. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  ha ha ha umenichekesha
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah wanawake mnajua mna hii tabia...yaani wataka kumuangaisha jamaa wakata raha mtapata wote bana. mie bora demu aniambie mwana kama untaka K hapa leta pesa kadha kuliko kufanya kama wanikomoa
   
 17. K

  Karug JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nafurahia sana kudanganywa na gals kwa sababu huwa hainichukui muda kabla sijaugundua uwongo huo na hapo ndipo huwa mwisho wa mahusiano! Hii inanifanya kuwa huru bila kuwa na majukumu nje ya nyumbani kwangu....!
   
 18. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Kwa hiyo unafanya kwa siri sana asigundue??
   
 19. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Umeacha wangapi mpaka sasa?? maana inaonesha list itakuwa kubwa!!
   
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Mi sinaga side B!!!! I TRUST NO ONE!!!!!! Mda waote niko makini, na kila jambo nalipa 50% of sucess na 50% of failure!!!! Hivo mambo yakigeuka naamia plan B fasta. Kila jambo naangalia cicumstances na logic ya matukio tu. Namtegemea Mungu tu!!!!! Siku hizi uchakachuaji umezidi, ukimuamini mtu dakika tu keshafoulisha!!! Waweza kufa kwa pressure. Kama mtu nampenda sanaa nampa 70% ila najua 30%anaweza kuwa magumashi vilevile!!!
   
Loading...