Penelope
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 713
- 643
Kuna baadhi ya mambo ambayo ni madogo ama makubwa unaeza kutendewa ukasikia hasira mpaka ukabadilika kabisa.Nafikiri wengi wetu tuna side mbili,unaweza ukamuona mtu ni mcheshi ana cheka kila wakati ila kuna side B ambayo inaweza kutokea anapokasirishwa kwa kiwango cha juu either na g/friend,boyfriend,mchumba,mke ama mume hata kwa jambo dogo tu ambalo hapendi kutendewa.....
Mimi kitu ambacho sipend ni kudanganywa hata kwa jambo dogo ,wewe je?
Mimi kitu ambacho sipend ni kudanganywa hata kwa jambo dogo ,wewe je?