Sibishi tena..Huyu Bwana anasomeka

Sibishi tena..Huyu Bwana anasomeka

mimi nilimkubali Magufuli since day one Dodoma walipomchagua....nilipata shida sana kupingana na wale nyumbu waliokua wamezagaa kila kona ya jiji bila direction maalum..niliteseka sana!!! asante Mungu kwa kutupa raisi uyu
Well said, kama bado kuna watu wasiomsoma basi wapokee huu ushauri wanahitaji kumwona mtaalamu wa macho..!!Ni mtu anayependa kuiona Tanzania inayokwenda mbele,anayechukia kutoka moyoni mwake na kwa vitendo ufisadi(majipu).Kuwa upinzani haimaanishi kupinga kila kitu..!
 
Back
Top Bottom