Siasa zimeikumba fani ya afya. Udaktari sasa miaka mitatu chuo. Lengo ni kujaza majengo waliyojenga mikoani (zahanati kila kata) wakawa wanaombea kura. Wananchi afya zetu zimewekwa rehani, mdomoni mwa mamba! Mtaala tayari. Inasubiriwa udahili vyuoni. Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu!
China.Nonsense. It is important to differentiate between 'doctors' i.e degree holders and clinical officers. There is no such thing as a 3-year medical training.
Mleta hoja ana hoja nzito sana lakini amezipanga vibaya. Alitakiwa achanue hali ya sasa qualifications za sasa kisha aelezee hiyo kozi ikoje hahafu ahitimishe athari zakemmenikumbusha ule ualimu wa wiki 6. hivi bado ile programu inaendelea? walikua wanaitwa walimu wa maji ya moto. vingereza vyao 'zat wani endi zis wani iz her wife'
Mleta hoja ana hoja nzito sana lakini amezipanga vibaya. Alitakiwa achanue hali ya sasa qualifications za sasa kisha aelezee hiyo kozi ikoje hahafu ahitimishe athari zake
U ar right pal, issue ni how will the society and professional bodies regard themkupata details za curriculum mpya inaweza kumuwia vigumu. bt seriously,ukiangalia mziki wa udaktari na uhitaji wa ward rotations i hope kama ni kweli wameangalia hii vizuri. tofauti ya udaktari na fani zingine za kisayansi ni kwamba dr hawezi kwenda kujaribiashia kwa mgonjwa. nasikitika kwa sababu with the current education system (mara mtihani wa form 2 hakuna,mara upo ila hakuna mchujo), tukifanya hivi kwa proffessions tutaishia kubaya.
well,obviously madaktari wetu watapata challenge ya kukubalika internationally.