MwanaDiwani,
Kwanza wewe ndiye usiyejua siasa za Zanzibar, unachojua wewe ni siasa za "tanu" na "asp". I will spare that for next time.
Muhimu Hapa ni Kwamba kila aliyekuwa anafuatilia mazingaombwe ya CCM Dodoma kwa muda sasa anajua wazi Kwamba - UKAWA ulihitaji kura 71 tu kuzuia kupatikana kwa 2/3 ya Zanzibar, na idadi hiyo tayari imepatikana kwani wajumbe wa ukawa ni 67, jumlisha na wawili ambao hawakujisaliji Kupiga kura - Othman masoud na abdalah Abbas, hao wanakuwa jumla 69. Ukijumlisha kura zilizopinga rasimu ambazo ni nane, inakuwa jumla 77. Theluthi Mbili ya wajumbe 210 kutoka Zanzibar ni wajumbe 140. Wajumbe 210 - 77, ni wajumbe 133, kwa maana Kwamba theluthi Mbili inapungua kwa kura Saba.
Alichofanya Sitta, ukiachilia Mbali uchakachuaji wa hizi kura ni Kwamba, hata kwa suala la maridhiano, Hilo ni nje ya kanuni kwani maridhiano hufanyika Kabla ya kura, hauwezi Kupiga kura halafu uingie Tena Katika maridhiano Kubadilisha kura yako. Kwa maana hii, katiba ya Sitta na Chenge imeanguka, kinachoendelea ni uchakachuaji tu, basi.
View attachment 189936View attachment 189938
Ondoeni Shaka, katiba yenu mmeipata, sisi bado tunatafuta katiba yetu Kama wananchi.
Sent from my iPhone using JamiiForums