Siasa za ustaarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za ustaarabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SURA SIO SOHO, Jun 3, 2011.

 1. S

  SURA SIO SOHO Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila nikitafakari mchakato wa katiba mpya napata kigugumuzi kutokana na uchelewashwaji na umakini wa jambo husika, nikitaka kwenda mbele kwa kutumia nguvu nakutana na Bango linasema demokrasia ya kweli na siasa za ustaarabu: Hivi wana jamvi ni ustaarabu na demokrasia gani hii mnayoiona? nakosa uvumilivu hapa, ndio maana najisikia kusema kama alivosema mmasai wetu( Edo) kuwa Wakimwaga Mboga yeye anamwga Ugali. Nakosa kuvumilia hapa:  Mimi ndimi njia ya kweli na Uzima Hakuna atakayeweza kuja kwa Baba bila Kupita Kwangu(Jesus):
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mchanganyiko wa mambo mbalimbali katiba,lowassa na Injili! Unataka nini?
   
 3. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Chagua moja
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sura ndo roho....
   
Loading...