Siasa za SUGU na VINEGA

Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.

Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.

Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?

Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.

Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".

Merry Christmass...
UMETUMWA NA HAO masnitch wa klauz,SUGU ameanza harakati za kuukomboa muziki wa bongo kabla hajafikiria kuwa mwanasiasa,na lengo la wasanii ktk jamii ni pamoja na kusaidia jamii...sasa ww na hao waliokutuma mlitaka asiwasaidie wahanga wa mafuriko? na kama ndivyo basi ww na hao waliokutuma toeni ninyi hiyo misaada kwa wahanga,mbona husemi kuhusu project ya kuichangia AFRICA iliyofanywa na MICHAEL JACKSON NA kuitwa AMERICA FOR AFRICA na kurekodi nyimbo WE ARE THE ONE...ukiendelea kukubali kutumiwa na hao maharamia VINEGA tutakudandia na kukutolea mahali
 
Kwani pato lenyewe jumla ni shilingi ngapi kama vipi mziweke jamvini ili tujaribu kufanya mgao na hao vinega ni wangapi ?
 
mimi sionitatizo lolote hapo maana hiyo hela ikitolewa inatolewa kama mchango toka kwa vinega na sio kama sugu(Mbunge).
 
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.

Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.

Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?

Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.

Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".

Merry Christmass...

Sio watu wote wana roho mbaya kama yako, kutoa ni moyo unauhakika gani kama Sugu ndio ameamua kuhusu hiyo 33% kumbuka tamasha halijafuata mafuliko lilishakuwa planned before na huenda VINEGA wameona watoe hiyo 33% kama mchango wao kwa jamii acha kupandikiza mawazo ya chuki na ubinafsi, kama unabeef na Sugu kivyenu hukoo, Usituletee upimbi kwenye mambo ya msingi.
 
Hii kitu nilishawahi kuhoji hapa jamvini.

Vinega si kundi la kimkoa, kikanda, kikabila wala kidini. Ni kundi linalojumuisha wasanii wa HipHop (kama wanavyojiita wanaharakati) wa Tanzania. Moja ya malengo yao ni kumpa somo msanii na kumkwamua na unyonyaji.

Kwanini wameamua mapapo yao yagawanye kwa wakazi wa Mbeya tu. Hawaoni kuwa Sugu atakuwa anawatumia kisiasa?

Nani aliyepanga 33% ibaki Mbeya. Hauoni kuwa ni kiasi kikubwa sana!. Ina maana kwenye mia wanagawana 67 wakati 33 inabaki kwenye jimbo la Sugu. Je wanakotoka hakuna matatizo yanayohitaji michango yao?

Kuweni makini, huyo Sugu hana nia nzuri na nyie. Anawatumia kufanikisha malengo yake ya kisiasa.
 
Huyu hapa concept ya Tanzania ni nchi moja imempitia mbali, halafu inawezekana hata idea ya "benefit concert" hajawahi kuisikia.
 
sioni pa kukugongea thanks mkuu.
Ikamate hapa hapa....thank you for this useful post.
 
Hivi Hamis Kigwangwala akitoa proposal kuwa asilimia 33 za mishahara za madaktari ipelekwe jimboni kwake Nzega kusaidia waathirika wa migodi ya madini, mtakubali kuwa mchango huo una lengo tu la kisaidia watanzania? Mnadhani madaktari hawataona tatizo kwenye hilo?
Lengo la operation ya antivirus kama walivyoitangaza wao wenyewe wakiongozwa na SUGU ni kuwagomboa wasanii ili waweze kutoka kwa kutegemea vipaji vyao. Hiyo ya Mbeya itakuwa concert ya tatu tangu wameanza. Sasa just imagine, umeanza mkakati wa kutoka kiuchumi then concert ya tatu tu inakuwa benefit concert, tena "coincidentally" inatokea nyumbani kwa kiongozi wa kampeni hiyo.
Kumbukeni pia kuwa kampeni hii ni by product ya clouds. Swali linakuja, je ni nini ambacho hao VINEGA hawakitaki clouds? Je, huku kwenye anti virus kitu hicho hakipo? Utaona kwamba kitu kile kile kipo ila kwa sura tofauti tu. VINEGA wanatumiwa tu.
 
Ukiongelea siasa niwigo mpana sana, iwe anafanya tamasha kwa ajii ya kuwakomboa wasanii au kujiimarisha kisiasa, yote yanawezekana, cha msingi ni kujenga hoja, nadhani tamasha lingekuwa liafanyika Mbeya tu hoja hii ingekuwa na mashiko, cha ajabu limeanzia mikoa mbali na Mbeya na sina hakika kama ndio litafungiwa Mbeya kama strategic area but walao kwa kidogo alichofanya si haba anagalau kuna wachache watakithamini, yamkini kabisa kwamba kuna wanasiasa wengi wameingia duru hilo kupitia anlge mbalimbali lakini tujiulize wamefanya nini utakachothaminisha na alichofanya Sugu? John Komba mfano, aliingia kikwaya kwaya na sasa amesimama kivyake na jimbo lake, Ingalikuwa wanasiasa wanapata fursa za kuingia say mjengoni kwa mlango kama wa Sugu au Jkomba na wakaamua kugeuka nyuma na kuangalia kundi kama lao waliloliacha nje huenda makundi mengi ya jamii yangekomboka alau kwa stahili zao, mle mjengoni kuna walimu, manesi, madatkari, wahandisi, wakulima/watoto wa.., wafanyabiashara, waganga kama maji marefu, wengi tu na background tofauti na leo hii wanadai maslahi yao binafsi, nakumbuka mama Sitta alivyokuwa anapigania waalimu wakai ule akiwa mwenyekiti wa chama cha waalimu na alipoingia mambo yakawa tofauti, walau huyu ameonesha njia kwa nadharia na vitendo maana tumeona bungeni anavyowapigania wasanii. Hoja kubwa huenda ya kujiuliza ni kwa kiasi gani anakumbuka pia wapiga kura wake, maana kuzunguka Tanzania nzima si haba na ukizingatia yeye ni mwakilishi wa jimbo na si wasanii na pengine ndio maana zinaanza kujengwa hoja kwamba kuna hujuma za chinichni zz akumng'oa uchaguzi ujao (kama atasalimika kwenye chama chake).Ni jinsi tu mtu anavyochanga karata zake!!
 
[h=6]Joseph Mbilinyi
[/h][h=6]‎...KWA NIABA YANGU NA VINEGA WOTE WA ANTI-VIRUS NAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA SAPOTI MNAYOTUPA KUTOKA KILA PANDE YA DUNIA...FROM KENYA TO JAPAN,SOUTH AFRICA TO CHINA,INDIA TO IRAN AND ALL EUROPE AND AMERICA...WE R WINNING THIS WAR BECAUSE OF YOU..ITS NOW ALL ABOUT VINEGA MOVEMENT WORLDWIDE BABY..FROM THE BOTTOM OF MY HEART I SAY GOD BLESS Y'ALL AND KEEP SUPPORTING...!!![/h]
 
Puppy,
Are you convinced kwamba hao VINEGA hawana matatizo ya kutatua makwao? If yes, kwanini waamuliwe na kamati ya maandalizi kuwa theluthi (33%) inabaki kwenye shughuli za siasa za SUGU. Hii asilimia ni kubwa mno, hata Bill Gates hawezi kufanya hivi. This is not giving back to the community, this is buying the community politically kwa kutumia vipaji vya VINEGA.
Jaribu kufikiria asilimia 33 ya kipato chako, then jiulize kama unaweza kwenda kukitoa charity, then kumbuka kuwa hiyo inayobaki wanagawana VINEGA wote.

I am conviced kutokana na historia yao. Ujue asiye nacho has nothing to loose. Hawa vinega longtime walikuwa wametupwa hawana lolote kutokana na muziki wao, waliendesha maisha kwa shughuli nyingine. Lakini wameamua kuwa chambo kuwaokoa wengine, meaning kwa wao kupaza sauti kunafanya watu kama kina "Jay Mo na Afande Sele pia Inspekta Haroun kupata shows" (wote walikuwa wametupwa).

Now hauwezi ogopa kuinvest, hauwezi ogopa kutumia capital yako ili ikuzalishie in the future.
Leo mwanachi akiona kuwa wanamuziki wamejitolea that big amount (33% kama usemavyo) kuwasaidia, kesho na wao watanunua miziki yao na kuingia shows zao knowing kuwa hata sisi wanatukumbukaga.

Hakuna Gain bila Pain my friend, kama hicho kiasi cha mapato watachogawana Vinega kitakuwa kidogo (usemavyo wewe), ndio Pain yao na wananchi wao.

Wasipowasaidia hao wananchi ambao ndio market yao, kesho nani atanunua CD zao? Nani ataingia kwa shows zao??

Kazi ya kujitolea sio siasa (kama usemavyo) ni yetu sote wenye moyo wa huruma. So kuwasaidia wananchi wa Mbeya sio Siasa Za Mbilinyi bali ni kazi yetu sote wenye mapenzi mema.

Dar Si Salama pametokea mafuriko na watu wengi wamejitolea na wengine hata share yao ya sikukuu wameimega na maybe ni kwa zaidi ya 33%, nao hao utawaita wanasiasa au umaarufu?

Twitter watu wengi wamejitolea pia on #Darfloods lakini hapakuwako walosemea #Mbeyafloods so vinega wameamua kuchangia huko mbeya, divison of labour. Yote ni Tanzania yetu na ni ndugu zetu saidia uwezavyo na usipime ni kiasi gani.

Kesho Ukipata tatizo barabarani safarini na ghafla ukakutana na Sugu akakusaidia ni umaarufu atakuwa anatafuta? Utaukataa msaada wake??

Mimi naamini wanachofanya Vinega na wasamaria wema wengine wote ni sahihi kuwasaidia wana Mbeya.
 
Hii kitu nilishawahi kuhoji hapa jamvini.

Vinega si kundi la kimkoa, kikanda, kikabila wala kidini. Ni kundi linalojumuisha wasanii wa HipHop (kama wanavyojiita wanaharakati) wa Tanzania. Moja ya malengo yao ni kumpa somo msanii na kumkwamua na unyonyaji.

Kwanini wameamua mapapo yao yagawanye kwa wakazi wa Mbeya tu. Hawaoni kuwa Sugu atakuwa anawatumia kisiasa?

Nani aliyepanga 33% ibaki Mbeya. Hauoni kuwa ni kiasi kikubwa sana!. Ina maana kwenye mia wanagawana 67 wakati 33 inabaki kwenye jimbo la Sugu. Je wanakotoka hakuna matatizo yanayohitaji michango yao?

Kuweni makini, huyo Sugu hana nia nzuri na nyie. Anawatumia kufanikisha malengo yake ya kisiasa.
kwa ajili concert inafanyika mbeya...na wanaotoa viingilio ni hao hao wana mbeya! Ingefanyika Dar mapato yangeenda kwa wahanga wa dar! Nadhani hapo umeelewa!
 
Mbona cloudz wameiga kesho wanashoo,dar wanatoa 30%na wanalazmsha wasanii wataopiga shoo,waseme wameguswage,cpwaa 10%joh makin 10%young d 60%kumbuka watakatwa30%kinachobaki ndo wanakatwa hizo
 
hawa jamaa wasifanye tena uhuni kama waliofanya kwenye ishu ya kuchangia maafa ya kilosa..yani utapeli mpaka kwenye matatizo ya watz wenzio..
 
umeona mkataba kama makubaliano kati yao? wengi waliomakini wameamua mapato ya show za hivi karibuni kiasi kiwe msaada kwa wahanga wa mafuriko. wengine walioahidi kutoa kiasi kwa wahanga ni wenye show ya 'celebrate 50 years with swagg'. tujifunze kufanya utafiti kabla ya kulaumu ili ujue kuwa walikubaliana au niaje? wa wapi wewe!!!

Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.

Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.

Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?

Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.

Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".

Merry Christmass...
 
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa mafuriko hukohuko Mbeya.

Mimi, wewe na wengine wote wanajua kuwa Mbeya ni strategic area kwa shughuli za kisiasa za SUGU. Vilevile sote tulijulishwa kuwa lengo la ANTI VIRUS movement na VINEGA ni kuwakomboa wasanii toka kwenye unyonyaji wa "matajiri". Hii ni kumaanisha kuwa wasanii wawekeze kwa kutumia vipaji vyao ili wajikomboe kiuchumi.

Iwapo mgawanyo wa pesa utakuwa kama ulivyotajwa, basi VINEGA (zaidi ya 20) itabidi wagawane pesa zitakazobaki yaani asilimia 67 toa gharama za investment. Sasa tujiuliye, je huu uwekezaji wa kutoa msaada asilimia 33 ya gross income una tija kwa VINEGA? Jibu lake ni rahisi, kiuchumi/investment hakuna tija. Kwa vile kiuchumi mgawanyo huo hauna tija, je ni kwanini SUGU amesimamia kuhakikisha mgawanyo unakuwa hivyo?

Hapa ndipo tunapokuta kwamba SUGU anawatumia VINEGA kujijengea umaarufu kisiasa. Mkombozi wa kweli wa wasanii wa Bongo (iwapo wanadhurumiwa) bado hajapatikana. SUGU is just another mnyonyaji.

Ninawapa ushauri wasanii wote wanaohusika katika VINEGA kuwa makini na terms za ushirikiano wenu. Msikubali kuyumbishwayumbishwa. Kama kuna haja ya kuchangia maafa basi kila msanii apate pato lake na yeye mwenyewe kwa hiari yake akachangie maafa. Priority yenu number one inapaswa kuwa "KUTOKA KIUCHUMI".

Merry Christmass...

Another virus,tena wewe ni Trojan...just stay tune,you will be scanned effectively soon...
 
Nafikiri ujumbe umefika mkombozi wa wasanii hawezi hata siku moja akawa politicians, kwa lugha rahisi sugu anawatumia tu kwa maslahi yake ya kuwawini wanambeya.
Masaburi yanakuwasha wewe......Sugu ana wanyima usingizi ndiyo maana mana hangaika...Ukombozi unaweza kuletwa na mtu yoyote mwenye nia ya dhati na sugu hilo halihitaji elimu ya chuo kikuu kujua ana niana kwa sisi ambao tulianza kumfatilia kipindia ana sambaza tape vijiweni, hatuna wasiwasi na sugu............
 
umeona mkataba kama makubaliano kati yao? wengi waliomakini wameamua mapato ya show za hivi karibuni kiasi kiwe msaada kwa wahanga wa mafuriko. wengine walioahidi kutoa kiasi kwa wahanga ni wenye show ya 'celebrate 50 years with swagg'. tujifunze kufanya utafiti kabla ya kulaumu ili ujue kuwa walikubaliana au niaje? wa wapi wewe!!!
hata Simba na yanga watacheza mechi kesho na kesho kutwa na kiasi kitaenda kwa wahanga sasa anacho shangaa huyu ZeMarcopolo sijui ni nini!?
 
Back
Top Bottom