FMES,
..lakini Engineer ametamka mara nyingi kwamba hajatumwa wala hamwakilishi Mwakalinga. mimi nadhani hiyo inatosha kwa hapa jamii forums.
..ila on the ground, kama Mwakalinga ana nia njema na Kyela, basi itabidi aachane na siasa za makundi na kukamiana kama inavyoonekana hapa jamii forums.
FMES,
..kwa mtizamo wangu haitakuwa busara kwa Mwakalinga kutokea hapa JF ktk mazingira ya sasa hivi.
..wewe mwenyewe umeona jinsi Zitto alivyosambaratika baada ya kujaribu kujibishana na watu ambao hawaoni na tena wanatumia majina bandia.
..kama in private Mwakalinga ameshamuonya Engineer, basi hilo linatosha kwetu sisi kuamini kwamba amem-disown na hahusiki na maneno na harakati za Engineer hapa JF.[/QUOTE]
- Mkuu Jokakuu, katika kampeni za uchaguzi kuna ishu za private na ishus za public, sasa interest ya kampeni za Mwakalinga, ni kum-denounce huyu Engineer now na tena to the public hapa JF, kwamba hahusiki naye na anything to do with his ideas on him, yaani Mwakalinga,
- Bado ninasimamia hapo kutokana na experience kubwa niliyonayo na kampeni za uchaguzi wa siasa, hasa za jimbo na ubunge.
Na believe me ni ushauri wa bure tu!
FMEs!
FMES,- Mkuu Jokakuu, katika kampeni za uchaguzi kuna ishu za private na ishus za public, sasa interest ya kampeni za Mwakalinga, ni kum-denounce huyu Engineer now na tena to the public hapa JF, kwamba hahusiki naye na anything to do with his ideas on him, yaani Mwakalinga,
- Bado ninasimamia hapo kutokana na experience kubwa niliyonayo na kampeni za uchaguzi wa siasa, hasa za jimbo na ubunge.
Na believe me ni ushauri wa bure tu!
FMEs!
FMES,
Mbona wewe Masha hakuku denounce ulipokuwa unamchafulia hapa? Wacha zako hizo. Watu kibao walikuambia acha na bado hukuacha, au tayari umeshasahau?
FMES,
Mbona wewe Masha hakuku denounce ulipokuwa unamchafulia hapa? Wacha zako hizo. Watu kibao walikuambia acha na bado hukuacha, au tayari umeshasahau?
Mimi niliingia kumtetea Mwakalinga baada ya kuona wapuzi kama akina Shalom, Masanilo, Malafyale, magezi na wengine wameamua kumchafua mwenzao bila sababu. Nimepambana nao mpaka sasa wamepotea na wengine wamekuwa marafiki kama mzee wangu Malafyale.
Hata Mwakalinga akileta upuuzi hapa mimi nitamlipua tu. Mimi sio askari wa kukodiwa, ninajitegemea.
Hapa Kyela nampigia kampeni Mwakalinga bila kulipwa hata senti tano. Mimi sio mpambe njaa, nina kazi yangu hata kama silipwi mamilioni lakini inatosha kuishi na kutanua niwezavyo huku vijijini.
Sisi ndio tulimbeba Mwakyembe 2005, tukawaambia na wajumbe wakimchagua Mwakipesile hawatatoka pale ndani. Baadhi ya wapenzi wa Mwakipesile wakaogopa hata kupiga kura. Tulifanya hivyo kwasababu lile zee lilituchosha kwa wivu na kukwamisha maendeleo. Sina mapenzi hata tone kwa huyo Mwakipesile.
Bahati mbaya kumbe tulimweka msanii ambaye yuko tayari kuongea lolote. Miaka minne hii imekuwa ni balaa na ugomvi kila sehemu. Ikabidi baadhi yetu tumgeuke na kuanza kutafuta mtu mwingine. Alivyokuja Mwakalinga tukaona ni bahati maana angalau yeye kuna mambo mengi anaweza akasema ameonyesha kwa matendo kwamba anaipenda Kyela. Tunatumia pesa zetu kumnadi Mwakalinga, kwasababu tunataka maendeleo na sio ugomvi.
Mwakalinga anaungwa mkono na jumuia zote za chama hapa. Hao sio watu wa Mwakipesile. Mwenyekiti wa vijana hakuwa mtu wa Mwakipesile lakini Dr. Mwakyembe aliondoa jina lake ili asiwe mwenyekiti kwasababu tu alikuwa rafiki yake Mwanjala, akakata rufaa na jina lake likarudishwa. Juzi kakwamisha harambee yake kwa visingizio kwamba mtoto wa JK anakuja kumpigia kampeni Mwakalinga. Matokeo yake huyo mwenyekiti sasa anahamasisha vijana bila hata kuombwa na mtu.
Mwenyekiti wa UWT wilaya alipingwa na mbunge na badala yake mbunge alimuunga mkono mtu wa kutoka kwao huko Rungwe. Huyo mama mpaka leo hawaongei na mbunge. Unafikiri mama kama huyo anahitaji hata kuombwa na Mwakalinga? Yeye pia hakuwa mtu wa Mwakipesile huko nyuma.
Mwenyekiti wa Wazazi ni diwani wa Kyela mjini, huyu alikuwa mpambe wa Mwakipesile tokea zamani. Mbunge aliweka mtu wake na kumwaga pesa adondoshwe lakini diwani akashinda. Huyu ana kauwezo kake na yuko tayari kutumia pesa zake kumnadi Mwakalinga.
Team ya Mwakalinga ina watu wengi sana mchanganyiko na hata yeye alisisitiza team iwe na wale watu ambao mwaka 2005 walimwunga mkono Mwakyembe.
Pia kwenye mizunguko yake alikataa kabisa kuongelea ya Mwakyembe na muda wote alikuwa anaongelea hasa elimu, afya na kilimo. Ni tofauti na mwakyembe ambaye kwa aslimia 100 haongelei maendeleo bali ufisadi, na vijembe juu ya Mwakalinga. Akiulizwa ataje majina anakwepa.
Kuanzia sasa nitapunguza kuandika hapa maana naona JF inanipotezea muda wangu wa kufanya mambo mengine.
Naomba nieleze unafikiri Mwakalinga atafanya nini zaidi ambacho Mwakyembe hajafanya ama atashindwa kufanya?. Mwakyembe kupita na kuongelea ufisadi wewe linakukera nini na kivipi?. Na wewe ni moja kati ya mafisadi?. Matatizo yote yaliyopo Kyela na Tanzania nzima kwa 99.99% yanatokana na ufisadi unaofanywa, Mwakyembe kuukemea na kuuchukia ufisadi ni sababu anayachukia matatizo na umasikini wa wana Kyela na watanzania wote, sasa wewe ulitaka aongelee nini zaidi?. Viongozi wa dini zote, mabalozi wa nchi za nje walio Tanzania, Vyama vya upinzani, kila kona ndani ya Tanzania watu wanalia na ufisadi kwani ndiyo chanzo cha matatizo na umasikini uliopo Tanzania, sasa wewe mwenzetu ni mtu wa namna gani na ni wa wapi ambaye hujaguswa na ufisadi?.
Mwaka 2005 ulikuwa kwenye kambi ya Mwakyembe na sasa umehama na kwenda kwenye kambi inayompinga Mwakyembe, bila shaka una matatizo ya ubongo ama una tamaa ya pesa. Umeona wazi kwamba Mwakyembe hatoi rushwa ili kuchaguliwa sasa umehamia kambi ambayo unajua kwamba utapata mshiko. Umasikini utakuua pamoja na familia yako, usikubali kuiiza kura yako, bali tumia kura yako vyema kuleta maendeleo Kyela na Tanzania.
VOTE FOR MWAKYEMBE

Kidatu,Naomba nieleze unafikiri Mwakalinga atafanya nini zaidi ambacho Mwakyembe hajafanya ama atashindwa kufanya?. Mwakyembe kupita na kuongelea ufisadi wewe linakukera nini na kivipi?. Na wewe ni moja kati ya mafisadi?. Matatizo yote yaliyopo Kyela na Tanzania nzima kwa 99.99% yanatokana na ufisadi unaofanywa, Mwakyembe kuukemea na kuuchukia ufisadi ni sababu anayachukia matatizo na umasikini wa wana Kyela na watanzania wote, sasa wewe ulitaka aongelee nini zaidi?. Viongozi wa dini zote, mabalozi wa nchi za nje walio Tanzania, Vyama vya upinzani, kila kona ndani ya Tanzania watu wanalia na ufisadi kwani ndiyo chanzo cha matatizo na umasikini uliopo Tanzania, sasa wewe mwenzetu ni mtu wa namna gani na ni wa wapi ambaye hujaguswa na ufisadi?.
Mwaka 2005 ulikuwa kwenye kambi ya Mwakyembe na sasa umehama na kwenda kwenye kambi inayompinga Mwakyembe, bila shaka una matatizo ya ubongo ama una tamaa ya pesa. Umeona wazi kwamba Mwakyembe hatoi rushwa ili kuchaguliwa sasa umehamia kambi ambayo unajua kwamba utapata mshiko. Umasikini utakuua pamoja na familia yako, usikubali kuiiza kura yako, bali tumia kura yako vyema kuleta maendeleo Kyela na Tanzania.
VOTE FOR MWAKYEMBE
Jamani, ifike wakati waandishi na hata wahariri wao wakaona umuhimu wa kupima habari zao kabla ya kuzichapisha, inavyoonekana hapa kwenye habari hii, uongo ni mwingi. Inawezekana namna gani 'muuaji' wa kweli akamwendea mwanasiasa jukwaani na kisu ili kummaliza? Nimependa Saidhorizons alivyoeleza kuwa huyo jamaa atakuwa na matatizo ya akili kama ni kweli hiyo ilitokea, apelekwe Hospitali ya Magonjwa ya Akili, hasa Mirembe na wala siyo Polisi kusumbuka naye
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile ameomba wazee wa jiji la Mbeya kufanya uchunguzi wa ugomvi baina yake na Mbunge wa Kyela wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Harrison Mwakyembe na kusisitiza kuwa atajiuzulu iwapo hatotekeleza watakayomuonya iwapo atabainika kuwa ni chanzo.