Wewe nafikiri ndiye una matatizo ya akili. Nani anabeza kazi ya Mwakyembe kwenye Richmond?
Kwasababu alifanya kazi nzuri Richmond basi ndio ajichukulie sheria mkononi mpaka kuanza kuteka vijana?
Soma hotuba zake, hata sehemu moja haongelei maendeleo ya Kyela. Kama anataka kuwa rais wa nchi si agombee urais?
Kyela watamwajibisha kwa kushinda kufanya kazi za kusukuma maendeleo wilayani kwake na badala yake ni migogoro tu.
Mbona Dr. Slaa anafanya kazi na RC wa CCM? Yeye kila siku ni malalamiko tu RC ananikwamisha. Hivi kazi za RC na mbunge mbona ni tofauti sana?
Tatizo lake ni kutokukaa Kyela; sasa baada ya kutokea Mwakalinga ndio anajifanya kukaa Kyela lakini badala ya kuunganisha watu analeta vituko vya kuteka vijana na uwongo eti simu ina sms za vigogo. Nimeongea na ofisi ya RCO wanasema ni usanii tu wa Kyela. Kweli Kyela inahitaji mbunge wa namna hiyo?
Unaona ulivyo mjinga? Wewe ndio unasema hauko standard moja na Bambumbile? Naona ni kweli standard yako iko chini mno.Jamani na wewe ni mtanzania au mganda??? haya maneno nime ya highlight vipi???
Unaona ulivyo mjinga? Wewe ndio unasema hauko standard moja na Bambumbile? Naona ni kweli standard yako iko chini mno.
Masatu ameshaandika kitu hicho hicho, mtu mwenye akili huwezi kurudia kitu hicho hicho.
Wenye akili au uwezo wanasoma kwanza kabla ya kujibu. Wajinga huwa na papara na kukimbilia kujibu utafikiri kuna mashindano ya kuwahi.
Unaona ulivyo mjinga? Wewe ndio unasema hauko standard moja na Bambumbile? Naona ni kweli standard yako iko chini mno.
Masatu ameshaandika kitu hicho hicho, mtu mwenye akili huwezi kurudia kitu hicho hicho.
Wenye akili au uwezo wanasoma kwanza kabla ya kujibu. Wajinga huwa na papara na kukimbilia kujibu utafikiri kuna mashindano ya kuwahi.
Acha kujikweza umeongea na RCO, wakati hata humjui kwa jina.
engineer wa mvua take a brakeSikonge,
Habari nilizozinasa sasa hivi hapa ni kwamba Mheshimiwa mbunge ana haha kumtafuta IGP Mwema asaidie. Sijui atamsaidia nini wakati ukweli wote uko wazi.
Pia alikuwa anamgombeza mkuu wa upelelezi wa wilaya ya Kyela na kudai kwanini amemtoa kijana Dan nje tena bila masharti yoyote. Akaambiwa hawaweki rumande watu ambao hawana makosa. Pia akamwambia case hii yote inasimamiwa na RCO na RPC na akitaka awaulize wao.
Police wanasema hawataki kukurupuka na kufanya makosa ya wale wenzao wa Iringa. Wanaenda taratibu na kila ushahidi kuuweka sawa. Mtu hawezi kutumia uongo ule ule mara mbili.
Nasikia RCO ni moto wa kuotea mbali, jamaa akaamua ampigie IGP ambaye naye kamkaushia, akaishia kuongea na wasaidizi.
Amelikoroga mwenye wacha alinywe, sisi watoto wa kijuweni tunasema amefulia.
Jumatatu kuna mkutano wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na huenda hili jambo likajadiliwa maana tayari viongozi kadhaa wa mkoa wametuhumiwa na mheshimiwa kwamba eti kuna sms zao. Watataka waonyeshwe hizo sms.
Kama kawaida mimi nitawaletea habari. Engineer kwa breaking news za Kyela ni hatari tupu, mwache Masanilo apasuke bichwa!
We mwana wa pateli Engineer Mshukuru sana Invisible anavyowakingia kifua humu sijui kwa sababu ni mwanachama mwenzenu wa CCM? Angeturudishia ile thread yetu iliyokuwa na hoja za kujadiliwa hii thread imekaa kikushoto sana.
Harafu mnamwita ndugu yenu kibarua mbona ata Mtanzania ni kibarua (kanusha) na ameweza kujenga majumba ila huyo dogo yeye hawezi kujenga au mpaka awe kibarua UK tu?
Magezi,
Wewe ni kilaza mno! Hapo ulipoweka nyekundu panasema "nimeongea na ofisi ya RCO", wewe unaongelea kumjua RCO kwa jina. Hivi unaelewa na maana ya ofisi ya RCO kwamba sio sawa na kusema nimeongea na RCO?
Bambumbile naona amekuweza kweli kweli. Inaelekea unakurupuka maana posts zako hizi mbili zimekuumbua.
Kwa taarifa tu ni kwamba kijana ambaye angetaka kumchoma Mwakyembe kwa kisu asingetolewa siku ya pili tena bila dhamana. Labda kama humjui Mwakyembe; angezunguka magazeti yote na TV zote kuelezea jinsi polisi walivyo wazembe.
Ukweli ni kwamba hata yeye anajua wamepika habari, sasa, wanasubiri waone kama wamelikoroga kwa kiasi gani. Wale vijana wake watatu matumbo yako moto; hata hapa mjini wamepotea na kujifungia. Walifikiri jambo dogo sasa limegeuka kubwa kweli kweli.
Aafadhali mwanzoni wangelikuwa na kosa moja tu la kumteka nyara huyo kijana. Lakini la kumzushia kwamba alitaka kumchoma kisu mbunge ndilo limeshutua watu wengi hapa. Inakuwaje mbunge anashirikiana na vijana wajinga kiasi hicho? Jamaa wenyewe jobless tu, kula yote inategemea mheshimiwa apate majungu afurahi na ndio na wenyewe washibe.
Mkuu wewe uko upande upi hapo?? Wewe unamshahara kweli? hahaha... ila nimefurahi kwamba ukielimishwa unaelewa na huo ndo uungwana.
Hapo umefulia bro! Engineer ni fundi na hata siku moja huwezi kumlinganisha na hao jobless akina Kinanasi, Mwamlige na Kilumbu.
Hivi ni wangapi jobless wa wilayani wanaweza kuwa na uwezo wa kusoma na kuchangia JF?
Hapa JF ukiwa na uwezo mdogo tu wa kufikiri unaweza kujua mambo mengi kuhusu wachangiaji bila hata kuwajua wao kwa sura.
Kama ninayehisi mimi ndiye engineer; basi mambo yake sio mabaya kabisa kule Kyela.
We mwana wa pateli Engineer Mshukuru sana Invisible anavyowakingia kifua humu sijui kwa sababu ni mwanachama mwenzenu wa CCM? Angeturudishia ile thread yetu iliyokuwa na hoja za kujadiliwa hii thread imekaa kikushoto sana.
Harafu mnamwita ndugu yenu kibarua mbona ata Mtanzania ni kibarua (kanusha) na ameweza kujenga majumba ila huyo dogo yeye hawezi kujenga au mpaka awe kibarua UK tu?
Mwisho watasema hicho kisu cha mkunjo kimeletwa kutoka nchi za nje. Ngoja tusubiri riport na kama kweli walimteka na kumpeleka kwa Mbunge basi itabidi Mwakalinga atafute MAWAKILI ili hili swala LIISHE. Na hawa jamaa wa IPPMEDIA itabidi na wao wapandishwe kizimbani vilevile kwa kumpakazia. Nina imani mawakili wengi watataka kuishika hii kesi maana ukishinda against IPPMEDIA, basi chart yako ITAPANDA SANA.
Sasa mwakalinga akifulia utakula wapi mkuu, make hadi simu za kufanyia kazi anawanuulia??
Engineer,
Nina wasi wasi kama kwenye hizo milioni 400 huna mgao kidogo kwa sababu naona una nguvu kweli ya kampeni....kwi..kwi...kwi
Sikonge,
Weye umechelewa wapi ndugu yangu? Kisu chenyewe si hiki hapa ambacho kishapigwa picha na ni cha Kigeni mitaa ya Uajemi? Sasa si Uunganishe nukta
Kwi kwi kwi au ni Bwa ha ha ha
Mkuu, nothing personal nimeona niweke sawa kidogo hapo juu
Mh Ng'wanza Madaso,
Uko sawa hapo juu kuwa mimi ni mugeni humu ndani mwa JF. Kwa kuwa wewe unahelekea kuwa ni mwenyeji humu JF hebu nielimishe, sisi hambao tulikuwa tunasomaga kama WAGENI kwani ni makosa kuhamua kujiunga na kuchangia? Au unanishambulia kwa kuwa nimesema kitu hambacho wewe hakikupendezea? Kama ni hivyo si ungeshambuliaga tu pointi nilizotoa badala ya kunishambulie eti mimi nilikuwa nasoma na baadaye nikahamua kujiunga. Usemi wa kizungu unaosemaga kuwa "attack the message not the messenger" nadhani inabidi kuutafakari kama unapenda kufanya hivyo kwa faida yako.
Shalom,Harafu mnamwita ndugu yenu kibarua mbona ata Mtanzania ni kibarua (kanusha) na ameweza kujenga majumba ila huyo dogo yeye hawezi kujenga au mpaka awe kibarua UK tu?
lazima waende na kisu maana yake walijaribu ajali wakashindwa, siunajua mwakalinga ndio alikuwa mzamini wa ile ajaliNilitegemea ataenda kuwapa akina Zombe wamuondoe Dr. loo, kumbe kaenda kununua kisu cha kukunja. Yaani Mwakalinga na kusoma kote kule na kuishi Poland, ameshindwa kuagiza Wauwaji wa kulipwa kutoka Ukraine au Russia na kaja na kakisu ka kukunja? Huyu jamaa MPARE sana.
Naanza kupata wasiwasi kama hizo milioni 400 alizopewa Mwakalinga zinaweza kuwa ni Dola za Mughabe (Zimbabwe Dollar).