Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.

Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.

Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.

Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.

Je, huyo mwaipopo anaongeleaje uhusiano ulivyokuwa kati ya Chadema na rais mkristo Magufuli (RiP)? Chadema walielewana na Jiwe?
 
Usiseme dini, sema ukristo. Uislam hauendeshwi kwa utashi wa mwanadamu.
Ndio mana hatupelekeshwi ovyo kama mnavofanya vituko huko makanisani
Wale baadhi wanaojilipua na mabomu wakiita kujitoa muhanga maanaake nini?
Kama uelewa wako wa mambo ni mdogo tulia bro
 
Magufuli kapiga watu risasi, wakatoliki kimyaaa, kazuia mikutano, wakatoliki kimyaaa, kazuia uhuri nchi nzima.
Acha UONGO.
Hawakukaa kimya..
 
Back
Top Bottom