Wewe domo lako ni chafu sana na muda wote linanuka matusi tu.Haina mahusiano hii.
Fuatilia post zangu hazijawahi kudharau dini yoyote
Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
KabisaAnatafuta kiki. Muislamu gani atamfuata huyo mjinga.
Pointi kuu ni hii hapa,Haina mahusiano hii.
Fuatilia post zangu hazijawahi kudharau dini yoyote
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Kikwete akiwa Songea kama sijakosea 2010 alisema CUF ni chama cha Kiislam, huyu msemaji anasemaje juu ya hiloAnatafuta kiki. Muislamu gani atamfuata huyo mjinga.
sasa haya maandishi au nukta?Nimeandika na kufuta mara nyingi, acha niweke nukta.
Point yako ni nini!?
Nani aliyemuita MMawia Mjinga?Hata kama Mmawia ni mjinga, hiyo haihalalishi upuuzi unaozungumzwa kwenye hiyo clip.
Ukikosa hoja unaleta vihoja.Wewe ya kwako ni nini?
Nani aliyemuita MMawia Mjinga?
Wacha upunguwani, yaani ulikuwa unasubiri uje na "majitaka' yako sasa.
Mmawia ni mjinga?
Rwanda kulianza hivi hiv, yaani mtu kama huyu alikuwa ni wa kunyongwa. Kuna haja gani ya kuingiza udini ?Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Utapakatwa usingizie rais mkristo.
Huyu mwaipopo ni kielelezo cha akili za kobaz,wengi wenu ni empty kichwani.
Hata huyo shangazi yenu hii video ataipenda asione hatari yoyote ndani yake.
Watakao mwelewa huyu jamaa ni wajinga magufuli alipingwa vikali na chadema pamoja na ukristo WakeIwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Huyu ni mjinga mmoja anayejiita alhaji Mwaipopo, mnyakyusa wa Kilosa. Ni wa kupuuzwa.Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua.
Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka.
Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini.
Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya kutugawanya na kutuigiza kwenye machafuko.View attachment 2876039
Aliyepokea vipande 30 vya pesa ni mbowe na kumuuzia chama lowasaMajitaka mengine....👇✍️