Siasa ya Ujamaa na kujitegemea bado ni Itikadi ya CCM?

Siasa ya Ujamaa na kujitegemea bado ni Itikadi ya CCM?

Kwamba the kujitegemea half of it was about building a nation that is not foreign aid dependent (as it is now) and ujamaa being about living together peacefully despite the differences in our religious convictions, ethnic backgrounds, etc.

And I retorted saying that you cannot have a national policy that cannot be implemented at the individual's level.

Huwezi kusema nchi yetu itakuwa ya "Ujamaa na Kujitegemea" kama mtu mmoja hawezi kuwa "Mjamaa anayejitegemea"

Kama vile huwezi kusema kwamba "Congregation yetu ni ya wakristo" bila ya kuwa na mkristo hata mmoja, congregation tu ndiyo ya wakristo.

Hii thinking ya kufikiri vitu in the collective, bila kuangalia the individual ndiyo imetulostisha.

Mtu mmoja akiwa Mjamaa, hawezi kujitegemea, akijitegemea, hawezi kuwa mjamaa.

Kisichowezekana kwa mtu mmoja hakiwezekani kwa nchi nzima, tulikuwa tunafukuza the Selassian ideal "that remain to be pursued, but never attained"
 
Ujamaa na kujitegemea was out tanzanians choice after independencebut selfishfism policy of nyerere. Ukiangalia sana katika miaka yote ya utawala wa nyerere, utaona alifanyaaa juu chini ili aabudiwe kama mungu na umma wa kitanzania waati anajenga uchumi mbaya sana Tanznaia. alikuwa anaimbiwa kwaya na TOT kuwa yeyey ni mwenye busara, mzuri kifikira, fikira zake zidumu na sahihi, bababmlezi wa umma, kipaji chake kazaliwa nacho, babab mlezi wa taifa na mambo mengi wakati watu mikoani na vijijini wanatembea uchi wa nyama na kero ya kurudia dalasa la saba inawakumba vijana kila kukicha.

Huyu Nyerere alikuwa katili sana, siasa ya ujamaa na kujitegemea haikuwa kwa ajili ya kujenga uchumi bali ni kujenga jina takatifu la nyrere tuu ingawa alikuwa hastahili. jiulize, kwa nini alitunyima uhuru wa kuona TV na kufaidi mafunzo ya tokanayo na TV kwa miaka 27 ya utawala wake wa kujinjijenga kama mungu mtu? kwa nini alikuwa hataki kujenga shule za secondari mpaka ngazi ya kata kama anavyofanya mkapa na kikwete?

Mashabiki wake wanamsfifu kuwa kagomboa africa, huo ni upuuzi, alistahili kumgomboa mtanzania kwanza yule aliyekuwa anarudia dalasa la saba mara kumi ili kutafuta elimu ya secondari na wengine kuja mjini kutafuta kazi. Kwa nini aliwaita watu unemployed, eti, wazururulaji badala ya kuwatafutia kazi? Mbona kikwete kawajengea machina comlex badala ya kuwapeleka keko rumande? unaona jinsi julius alivyokuwa katili ili mradi tuu afanywe mungu mtu na baraza la maaskaofu wakatoliki Tanzania?

Ujamaa na kujitegemea, kwa taarifa yako, ulikuwa ni utumwa ndani ya serikali huru. ona alivyofanya operation vijiji vya ujamaa! , nyerere,halafu aliwarudisha kenya , wale watu waliotaka kumpndua moi mwaka 1982, moi akawauwa wote, kweli hili ni jambo la kumpendeza mungu mpaka aitwe mtakatifu jamani? Mbona hakuwasamehe akina macghee na wenzake , akina member lee, mpaka wakafia Gerezani?

Ujamaa ulivyomfyanya Nyerere mungu mtu, leo hii, ukitaja mabaya ya nyerere hadharani, utasikia mtu anakutukania baba yako kama vile umekashifu dini yake? wewe soma africa now gazete la mwaka 1985, ambalo nyerere alijifanya kulaani Mkataba wa Mkomato accord, kati ya wakati ulke sauth africa vs msumbiji. Ona jinsi mataifa ya africa yalivyomtukana Nyerere ndipo utajua kuwa huyu mtu hakuwa na jina kama tulivyodanganywa na wapambe wake katika africa. halau anagalia. tulipopigana na Iddi Ammin, nchi zote za OAU, hazikutuunga mkono na vita yetu na Uganda, ingawa Iddi Ammini alituchokoza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kati ya uloongea yapo yanayoonekana yana logic, ila kwa machinga complex najaribu kutofautiana na wewe. ni mkakati ulioshindwa kabla hauja take off
. NI MTAZAMO WANGU!
 
Are all national policies implementable at the individual level?

If there is any nationwide policy/ ideology that is not implementable at the individual's level, then it is bound to be an illusive set of highfalutin' ballyhooing and boilerplate balderdash .

Ni kama vile unasema tunaweza kuwa na Ukristo ambao unaweza kutekelezeka kwa nchi nzima bila ya kuwa na mwananchi hata mmoja mkristo.

Hizo zitakuwa habari za si-hasa.
 
Sera si dini Kiranga!

Halafu katika ujamaa na kujitegemea, ukiangalia kwa makini jamii ya Kitanzania bado inaishi kijamaa jamaa ila kujitegemea kama taifa ndo kushi nehi! Tumekuwa taifa tegemezi hadi inatia kinyaa.

It is mortifying how foreign aid dependent we've become.

Au wewe unaona tunajitegemea?
 
Ni kweli ujamaa uli fail kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere ila kama ni mfuatilia mzuri wa hotuba zake aliwahi kuulizwa swali hilo na Waandishi wa habari na alijibu kwamba
Huwezi kutathmini kushindwa au kufanikiwa kwa siasa ya Nyerere kwa kumuuliza Nyerere! Fanya independent assessment! "Musa alitembea juu ya maji, well how do you know? Maandiko ya Musa yanasema..."
 
Ni kweli ujamaa uli fail kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere ila kama ni mfuatilia mzuri wa hotuba zake aliwahi kuulizwa swali hilo na Waandishi wa habari na alijibu kwamba " Ujamaa uli fail kwasababu ya baadhi ya washiriki wake kumgeuka, watu ambao alitegemea wangemsapoti walimgeuka, lakini pia Mwalimu alikuwa muwazi alisema kama ujamaa ulikuwa mbaya basi ndani kulikuwa na mazuri pia kwanini yale mazuri yasichukuliwe yakafanyiwa kazi kwa manufaa ya watanzania. Binafsi namuunga mkono kulikuwa na mambo mengi sana mazuri ndani ya mpango huo tatizo ni kwamba watu hawakumuelewa pamoja na tamaa za baadhi ya watu.

Huko Ulaya Mashariki ulikoshindwa nako viongozi waligekwa?
 
Sera si dini Kiranga!

Huo mfano wa dini umewekwa hapo kuifanya issue iwe immediately accessible. Ujamaa na Kujitegemea ni sera za political economy, essentially ni imani, na dini ni imani. From that connection mfano wa dini ni valid.

Ondoa dini.

Huwezi kusema "Tanzania sera yetu ni kuvaa nguo za kijani" wakati wananchi wote hawawezi kuvaa nguo za kijani, hamna hata mmoja anayeweza kuvaa nguo ya kijani. Nchi nzima itavaaje nguo ya kijani wakati hata mwananchi mmoja hawezi?

Halafu katika ujamaa na kujitegemea, ukiangalia kwa makini jamii ya Kitanzania bado inaishi kijamaa jamaa ila kujitegemea kama taifa ndo kushi nehi! Tumekuwa taifa tegemezi hadi inatia kinyaa.

Hii inaonyesha ujamaa na kujitegemea haviwezi ku co-exist. Tumeweza kuwa wajamaa jamaa lakini kujitegemea kumetushinda. Ukiwa mjamaa maana yake mnakuwa na cooperatives na mashamba ya vijiji vya ujamaa etc, sasa hapo utajitegemea vipi? Kazi inafanywa collectivelly mnagawana mapato, mnategemeana, utajitegemea vipi hapo?

It is mortifying how foreign aid dependent we've become.

Na huku si kujitegemea, further evidence kwamba "Ujamaa na Kujitegemea" cannot coexist.

Au wewe unaona tunajitegemea?

Miye ndiye niliyeanza kusema "Ujamaa na Kujitegemea" ni highfalutin boilerplate.
 
If there is any nationwide policy/ ideology that is not implementable at the individual's level, then it is bound to be an illusive set of highfalutin' ballyhooing and boilerplate balderdash .

Ni kama vile unasema tunaweza kuwa na Ukristo ambao unaweza kutekelezeka kwa nchi nzima bila ya kuwa na mwananchi hata mmoja mkristo.

Hizo zitakuwa habari za si-hasa.

Wewe ni great thinker
 
Kama sera ni dini basi mimi ni muumini wa Ujamaa na Kujitegemea all the way!

Na bado kabisa sijashawishika kuwa hizo sera mbili haziwezi kufanya kazi kwa pamoja.

Kwamba hamuwezi kuishi kwa amani na upendo kama ndugu halafu kama taifa mkawa hamtegemei misaada ya maendeleo toka nchi za nje....yaani sioni kabisa contradiction hapo. Ni uthubutu, nidhamu, na uthabiti tu vinavyohitajika ili kuitimiza hiyo sera kwa kiwango kikubwa.
 
Kama sera ni dini basi mimi ni muumini wa Ujamaa na Kujitegemea all the way!

Na bado kabisa sijashawishika kuwa hizo sera mbili haziwezi kufanya kazi kwa pamoja.

Kama hapo juu, ukiwa mjamaa maana yake unaamini katika kufanya kazi pamoja, kama katika vijiji vya ujamaa au cooperative unions, huwezi kujitegemea, unategemea wenzako na wenzako wanakutegemea kwa sababu mko katika a collective mode of production.

Ukiwa unajitegemea ni kinyume cha hayo, maana yake wewe unafanya kazi zako mwenyewe, huingii katika hizo habari za mashamba ya vijiji vya ujamaa na cooperatives.

One is the total opposite of the other, the two cannot co-exist.
 
Hiyo siyo maana yangu ya ujamaa. Labda ni ya kwako.

Ukiwa unajitegemea ni kinyume cha hayo, maana yake wewe unafanya kazi zako mwenyewe, huingii katika hizo habari za mashamba ya vijiji vya ujamaa na cooperatives.

Kujitegemea kwa sera ile kulimaanisha taifa ndiyo lijitegemee lenyewe, yaani lijitosheleze. Ndo maana kulijengwa viwanda vyetu wenyewe na kadhalika. Huwezi kusema hivyo sasa. Ni aibu tupu. Bajeti tu ya kuendesha serikali tunasaidiwa.

One is the total opposite of the other, the two cannot co-exist.

In your mind they can't but I know they can.
 
Are all national policies implementable at the individual level?

yap,it depend with a particular of policies!!but for the case of ujamaa it had suppossed to be implemented by national level since tanzanians were ones who were centred.
 
yap,it depend with a particular of policies!!but for the case of ujamaa it had suppossed to be implemented by national level since tanzanians were ones who were centred.

Huweza kusema "yap" halafu useme "it depend with a particular of policies".
 
Hiyo siyo maana yangu ya ujamaa. Labda ni ya kwako.

Maana yako ni ipi? Hata ikiwa tofauti lakini huwezi kukataa kwamba maana hii ndiyo iliyotumika Tanzania.

Kujitegemea kwa sera ile kulimaanisha taifa ndiyo lijitegemee lenyewe, yaani lijitosheleze. Ndo maana kulijengwa viwanda vyetu wenyewe na kadhalika. Huwezi kusema hivyo sasa. Ni aibu tupu. Bajeti tu ya kuendesha serikali tunasaidiwa.

Huwezi kujenga taifa linalojitegemea kama huna hata mtu mmoja anayejitegemea kwa sababu ya Ujamaa. Ndiyo maana nikasema "Ujamaa na Kujitegemea" havichanganyiki. Kuanza kufikiri unaweza kuwa na sera inayotekelezeka kitaifa lakini haitekelezeki kwa mtu mmoja ni sawa na kusema unaweza kuwa na taifa la wasomi bila ya kuwa na mwananchi hata mmoja aliye msomi.

In your mind they can't but I know they can.

Lila na fila havichangamani, unataka kutengeneza mixture ya maji na mafuta ya taa, mafuta yataelea tu.
 
Maana yako ni ipi? Hata ikiwa tofauti lakini huwezi kukataa kwamba maana hii ndiyo iliyotumika Tanzania.

Nilishaisema mara nyingi tu huko nyuma.

Huwezi kujenga taifa linalojitegemea kama huna hata mtu mmoja anayejitegemea kwa sababu ya Ujamaa.

Kujitegemea kulikuwa ni kwa kitaifa - kwamba serikali iwe na resources za kutosha kwenye coffers zake ili kuweza kujiendesha yenyewe bila misaada ya nchi yoyote ile ya nje na kwa wakati huo huo kuweza kutoa huduma muhimu kwa wananchi wake.

Sijui kwa nini hutaki kuelewa kuwa kujitegemea kulikuwa si watu binafsi binafsi. Sasa hivi mimi najitegemea lakini serikali yangu haijitegemei kwa sababu haina uwezo huo. Kama hili linawezekana kwa nini serikali ishindwe kujitegemea? Tena sasa hivi hata hayo mambo ya ujamaa na kujitegema hatuna tena!

Ndiyo maana nikasema "Ujamaa na Kujitegemea" havichanganyiki. Kuanza kufikiri unaweza kuwa na sera inayotekelezeka kitaifa lakini haitekelezeki kwa mtu mmoja ni sawa na kusema unaweza kuwa na taifa la wasomi bila ya kuwa na mwananchi hata mmoja aliye msomi.

Huo mfano wako wa wasomi hauhusiki kabisa. Serikali kuweza kutoa huduma za msingi kwa wananchi wake bila kwenda kuomba omba misaada nje ya nchi ndiyo kujitegemea kwenyewe ambako kulikuwa kumedhamiriwa.

Lila na fila havichangamani, unataka kutengeneza mixture ya maji na mafuta ya taa, mafuta yataelea tu.

Watanzania kuishi kama wajamaa (familyhood, not socialism) na kwa wakati huo huo serikali yao inajitosheleza katika kujiendesha na kutoa huduma muhimu kwao kunawezekana kabisa.
 
Nilishaisema mara nyingi tu huko nyuma.

Kujitegemea kulikuwa ni kwa kitaifa - kwamba serikali iwe na resources za kutosha kwenye coffers zake ili kuweza kujiendesha yenyewe bila misaada ya nchi yoyote ile ya nje na kwa wakati huo huo kuweza kutoa huduma muhimu kwa wananchi wake.

Sijui kwa nini hutaki kuelewa kuwa kujitegemea kulikuwa si watu binafsi binafsi. Sasa hivi mimi najitegemea lakini serikali yangu haijitegemei kwa sababu haina uwezo huo. Kama hili linawezekana kwa nini serikali ishindwe kujitegemea? Tena sasa hivi hata hayo mambo ya ujamaa na kujitegema hatuna tena!

Huo mfano wako wa wasomi hauhusiki kabisa. Serikali kuweza kutoa huduma za msingi kwa wananchi wake bila kwenda kuomba omba misaada nje ya nchi ndiyo kujitegemea kwenyewe ambako kulikuwa kumedhamiriwa.

Watanzania kuishi kama wajamaa (familyhood, not socialism) na kwa wakati huo huo serikali yao inajitosheleza katika kujiendesha na kutoa huduma muhimu kwao kunawezekana kabisa.

Serikali itawezaje kujitegemea kama watu hawawezi kujitegemea? Serikali itapata wapi fedha za kuweka kwenye coffers kama watu tegemezi wanainyonya serikali na hawalipi kodi?

Hizi habari za hadithi ndefu kwamba "serikali itajitegemea" bila ya kuanzisha falsafa ya kujitegemea kwa wananchi wake ndiyo iliyofikisha nchi kuwa ombaomba.

Halafu mpaka leo kuna vijana watanashati kabisa diaspora wana entertain dhana ya "serikali itajitegemea" kama vile serikali ni dubwana fulani linaloelea kwenye ofisi za around magogoni pale.

Serikali inaundwa na watu, na kama watu hawana falsafa ya kujitegemea (primarily kwa sababu wamepikwa katika falsafa ya Ujamaa) serikali haiwezi kujitegemea.

Ndicho tunachoona kinatokea sasa hivi. Watu waliendekeza hadithi za alinacha za serikali kujitegemea bila kuanza kwa watu binafsi kujitegemea, mwisho wake si serikali wala watu binafsi, vyote vimejaa utegemezi.

Look,

Huwezi kushona nguo bila kutumia uzi mmoja sehemu, huwezi kujaza ndoo ya maji bila ya kuwa na tone moja la maji, huwezi kuwa na nchi ya "kujitegemea" bila ya kuwa na watu wanaojitegemea, huwezi kuwa na kumi bila ya kuwa na moja.

Huwezi kuwa na wananchi wana negative real GDP per capita kwenye nchi, halafu ukategemea nchi iweze kujitegemea.

The unit is what makes the whole, you can't have the whole without the unit. Sasa tatizo letu tunafikiri collectively in terms of the whole bila ya ku address the unit.
 
Serikali itawezaje kujitegemea kama watu hawawezi kujitegemea? Serikali itapata wapi fedha za kuweka kwenye coffers kama watu tegemezi wanainyonya serikali na hawalipi kodi?

Well, there is always a starting point. Na ndiyo maana tulikuwa viwanda vyetu wenyewe. Hivyo viwanda vilitengeneza ajira, vilizalisha bidhaa, na kadhalika.

Vile vile access ya elimu ilikuwa kwa wote, wenye uwezo na wasio na uwezo. Tuna wasomi wengi tu ambao walisoma bure when Ujamaa was in full swing. Pia huduma muhimu kama afya watu wengi waliweza kuzimudu.

Sasa hapo utaona kuwa tulianza vizuri kabisa. Kama tungekuwa tuna akili tunge build upon those foundations leo tungekuwa mbali sana.

Hizi habari za hadithi ndefu kwamba "serikali itajitegemea" bila ya kuanzisha falsafa ya kujitegemea kwa wananchi wake ndiyo iliyofikisha nchi kuwa ombaomba.

I think the ideas of Ujamaa na Kujitegemea were briliantly conceived but poorly executed. That's the only thing I'll concede. Otherwise, if carried out properly they can work just fine.

Halafu mpaka leo kuna vijana watanashati kabisa diaspora wana entertain dhana ya "serikali itajitegemea" kama vile serikali ni dubwana fulani linaloelea kwenye ofisi za around magogoni pale.

Alaah! Unaniangusha sasa. Yaani unataka kuniambia kuwa wewe haikusumbui unapoona tunapewa pewa hii misaada ya maendeleo? Haikusumbui bajeti yetu inapofadhiliwa na nchi hisani? I hope labda sijakuelewa ulichomaanisha.

Siku ambayo serikali yetu itaacha kuwa ombaomba nitatembea kifua mbele kwa majivuno. I am ashamed of how beggarly we are.

Serikali inaundwa na watu, na kama watu hawana falsafa ya kujitegemea (primarily kwa sababu wamepikwa katika falsafa ya Ujamaa) serikali haiwezi kujitegemea.

Ujamaa na Kujitegemea haikulenga kuwafanya watu wawe tegemezi. Ililenga katika kujenga taifa linalojitosheleza kinyume ilivyo na sasa.
 
Back
Top Bottom