Siasa ya Ujamaa na kujitegemea bado ni Itikadi ya CCM?

Siasa ya Ujamaa na kujitegemea bado ni Itikadi ya CCM?

Marehemu Prof Abduramann Babu alimwambia Nyerere aujaribu ujamaa kwa panya kwanza, halafu aulete kwa wanadamu.
Marehemu Horace Kolimba alishaona kwamba CCM Imepoteza dira. Haipo tena katika malengo ya ujamaa na kujitemea, lakini haina muongozo mbadala.
Sasa umebaki wimbo "Ujamaa na Kujitegemea"
 
Tumekuwa tukienda bila dira miaka yote.Hii inawapa ccm upendo wa kujificha wapendavyo..Ila kwa wenye maono na wanaopenda vitu halisi na vinavyoeleweka, huu ndio muda wa CCM kutuambia walifuata mfumo gani na sasa wanakwenda ktk mfumo gani....hatutaki tena danganya toto sijui kumuenzi mwalimu kwa azimio la Arusha,wakati ktk uhasilia hakuna kitu....na tungependa sana..hilo litoke kwa mgombea..km bado wapo ktk azimio la arusha ama ktk mfumo huria na jinsi gani ccm hadi sasa imeheshimu hilo soko huria,na siasa za kidemocrasia.Km wanjificha kumuenzi baba wa taifa watuambie km ujamaa unamuenzi vipi?Na km mwalimu mwenyewe aliamini kuenziwa kwake ni kufuata ujamaa ulioshindwa (na Likiri hilo) pamoja na kwamba hakusema ni mbaya.Tunataka CCM watuambie vitu halisia....tungependa hata vyama shirikishi navyo vituambie pia AZIMIO LA ARUSHA LINA RELEVANCE GANI KTK DUNIA YA LEO KWA UJUMLA WAKE.?
 
Ujamaa na kujitegemea hauna contradiction yoyote.
hapo ndipo shida ya CCM...huwezi kuwa mjamaa na ukaweza kuwa mtu huru unayejitegemea.Never...huwezi mfuata Muhamad na ukamfuata Yesu never....Alichofanya Nyerere ni kuuchukua ujamaa na kupaka viharufu vya soko huru na democrasia km Muhamad alivyo paka Ukristu na Uyahudi ktk Quran yake na mwishowe kuleta shida duniani.Nyerere aliwahi fikiri kuwa unaweza kuwa na democrasia ktk chama kimoja km vile hakujua democrasia ya kweli inalinganisha hadi itikadi,theories za kiuchumi na kisiasa,na kiuongozi....Nyerere aliwahi lazimisha watu wapige kura kati ya Mwinyi na kivuli....sijui kivuli kingeshinda kingepewa nchi?Sijui wapi kivuli kiliweza kumaanisha hapana? ni km kusema Null ni sawa na Zero
 
Back
Top Bottom