Siasa ya kujihami Tanzania, Chama tawala kimeshindwa, nchi inadidimia

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Sasa hivi Chama tawala kina siasa ya kujihami, deni la taifa limeongezeka..

Maisha ya watanzania yanazidi kuwa duni

Kipato cha mtanzania kinapungua na mfumuko wa bei umeongezeka

Afya inazidi kuwa duni, Elimu imedorora (migomo baridi)

ufisadi na uporaji rasilimali sasa ni wazi wazi na hakuna anaejali...



Hivi Sisi Watanzania ni Mbumbumbu kiasi gani..... Hivi hatujui kuwa serikali imefilisika kwa sababu ya ufisadi....

barabara zipi zimejengwa kwa kodi zetu ama rasilimali za Tanzania.

World Bank, Badea, NSSF na Mashirika mengine ya Nje ya NChi ndo yamekopesha serikali kujenga barabara.

haya madeni ya serikali tuliyokopa tutayalipa miaka zaidi ya kumi ijayo.... Hali ya Maisha na uchumi wa Mtanzania itaendelea kuwa duni chini ya serikali fisadi miaka nenda rudi.

Nchi kama marekani, KENYA, Zambia, Rwanda wanaongelea sera za kuwawezesha wananchi kiuchumi na maisha bora na sio barabara pekee..

kama hali ya wananchi kiuchumi na kimaisha ni duni, hata hiyo barabara hutakanyaga maana huna nauli ya kupanda basi.


Wake up Tanzania, elimu ndo mkombozi wetu ila elimu tunayopewa katika shule za kata ni duni. Hata ukienda vyuo vikuu mikopo haitoshi. Walimu mishahara duni...

Afya duni, kama afya bora hakuna utafanyaje kazi upate pesa???


So Watanzania tuelewe serikali inakusanya kodi zetu na inapaswa kutupa huduma.

rasilimali zetu zinufaishe watanzania na sio Watu binafsi na familia chache USwisiiii
 
hali ya kimaisha ya watanzania inasikitisha...

kwenda na mawaziri kupiga soga ni uzushi
 
MPadmire,

Uzi wako umeuweka vizuri. Natamani ungewekwa ktk vipeperushi na kusambazwa na jets za kiislael maeneo mengi ya nchi.

Kinachonisikitisha ni baadhi ya wana jf kutolioona ili. Nahisi wana jf wasioona hali ya watanzania ilivyo kwa sasa na kujiunga na harakati za ukombozi may turn to be Interahamwe-
 
377057_272263239496522_1491237210_n.jpg
 
Hicho chama cha magamba si mlikiweka madarakani ninyi wenyewe? Tulieni mnyolewe vuri hadi hapo mtakapopata akili!!
 
Back
Top Bottom