Siasa ni ujinga

Siasa ni ujinga

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,752
Reaction score
10,523
Siasa ni ujinga ulio kubuhu.

Ujinga wa siasa ulifanya na umefanya

-Ukraine na Russia kugombana hawa ni ndugu wa damu kwa kiasi kikubwa

- Korea kugawanyika na kuzalisha kusini na kaskazini na kugeuka maadui wakati ni ndugu wa damu

- Israel na Palestine ndugu wa karibu wakigombana kwa sababu za kipuuzi

- China bara na Taiwan ndugu wa damu wakitofautiana mpaka leo

- Sudan maelewano yasiyo kwisha mpaka kila mtu kuchukua chake na kuzalisha ukusini na ukaskazini

- Ujerumani kugawanyika na kuleta umagharibi na umashariki kisa siasa za kiwendawazimu

Siasa ina ujinga mwingi wa ajabu
 
Siasa ilifanya Nyerere kuunga mkono uhuni kule Nigeria
 
Congo kuna uhuni wa kisiasa
 
CCM na ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
Ndugu wa familia Moja nao huuana na kutengana na wenyewe Ni siasa?
 
Wao na Malawi wana kaugonjwa kao kaujinga ka muda mrefu huwa kanalipuka kichaa kikipanda
Kwa io TZ na Malawi ni mwenzi mchanga ikifika mwandamo wa mwezi (uchaguzi) kichwa kina lipuka 💥💥
 
Siasa mbaya zaidi kuliko zote ni DINI 🤣🤣🤣
 
Sikutegemea vita vya russia na ukraine kama vingekuwepo mpaka leo

Huu ni ujinga aisee,zele na putin wanatakiwa wauwawe
 
Back
Top Bottom