Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 4,531 Reaction score 4,729 May 17, 2026 #1 Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa. Attachments 24e6bf48fe798af338b1b9bb8acb352e.mp4 8.8 MB
Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa.
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,549 Reaction score 14,995 May 17, 2026 #2 Subira the princess said: Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa. Click to expand... Sasa mtu kama huyu Watanzania waanzie wapi kumsamehe? Mtu anayeijua kweli, lakini kachagua kukaa on the wrong side hasameheki.
Subira the princess said: Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa. Click to expand... Sasa mtu kama huyu Watanzania waanzie wapi kumsamehe? Mtu anayeijua kweli, lakini kachagua kukaa on the wrong side hasameheki.
MgosiMnubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2022 Posts 1,659 Reaction score 2,887 May 17, 2026 #3 Kuna mda watu walikua wanafanya kweli Tuwaombee tuuh!?Asali asali
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 49,779 Reaction score 40,166 May 17, 2026 #4 Subira the princess said: Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa. Click to expand... Yes, kwe mamluki waliopteza uelekeo na wafuata mkumbo kama wewe, iko hivyo, ila unaweza kuchafuka au usichafuke at any given time in politics. unatakiwa kua smart always 🐒
Subira the princess said: Wasalaam. Siasa ni sayansi na si mchezo mchafu, kama huamini sikiliza haya maneno ya mwanasayansi wa siasa utanielewa. Click to expand... Yes, kwe mamluki waliopteza uelekeo na wafuata mkumbo kama wewe, iko hivyo, ila unaweza kuchafuka au usichafuke at any given time in politics. unatakiwa kua smart always 🐒
Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 4,531 Reaction score 4,729 May 18, 2026 Thread starter #5 MgosiMnubi said: Kuna mda watu walikua wanafanya kweli Tuwaombee tuuh!?Asali asali Click to expand... Sijui mzee alikengeuka wapi mpaka leo anaimba pambio za kusifu na kuabudu
MgosiMnubi said: Kuna mda watu walikua wanafanya kweli Tuwaombee tuuh!?Asali asali Click to expand... Sijui mzee alikengeuka wapi mpaka leo anaimba pambio za kusifu na kuabudu
MgosiMnubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2022 Posts 1,659 Reaction score 2,887 May 18, 2026 #6 Ukishatoka upinzani nasikia kule Wana msemo wakukukubatiza upya Subira the princess said: Sijui mzee alikengeuka wapi mpaka leo anaimba pambio za kusifu na kuabudu Click to expand...
Ukishatoka upinzani nasikia kule Wana msemo wakukukubatiza upya Subira the princess said: Sijui mzee alikengeuka wapi mpaka leo anaimba pambio za kusifu na kuabudu Click to expand...