Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,384
- 7,825
mwez novemba mwaka jana ukiagiza gari kodi yake mfano subaru forester ya mwaka 2005 ilikuwa 5.6M sasa ukiangalia kokotoleo la TRA gari hyo hyo kodi ni 9.6M hapa pana ongezeko la 4M
je hapa serikali wanategemea watu wa chn kama watumishi wa kawaida wa umma hata kununua gari?
je kuna haja gani ya kuwa na bunge kama sera au marekebisho ya sera ya kupeleka bungen yanafanyika bila hata kuwashirikisha wabunge?
kila sehemu watu wanalia kodi kupanda kiholela na ubunifu wa miradi ya kiujanja ujanja!
serikali ijue kuwa inapopandisha kodi tunaumia ni sisi wa hali ya chn ambao tunasisitizwa tudai risiti za malipo kila tunaponunua vitu madukan au kupata huduma fulani. matajiri na wenye vipato vikubwa ndo vinara wa kukwepa kodi!
upandaji holela wa kodi unasababisha kupanda kwa bidhaa masokoni, tunaoumia ni sisi wa chn!
umeme umekuwa anasa, mafuta ya taa anasa, mkaa anasa, gesi anasa.
hii sera ya hapa kazi ingetolewa ufafanuzi inamaanisha nin maana huku kwa wamaskini hali tete!