Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,314
Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya.....
Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia....
NB: Ushauri wa Bure, Tujue kula na Vipofu..., Huwezi kulia njaa nikija kuomba value for money za Kodi yangu wakati naona wewe Umeshiba...
Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao...
Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa authenticity yako..., hata siku ukiongea la maana watu wanaweza wasikusikilize...; Yaani ni bora uwe na mchele mdogo kila siku..., na sio kuchanganya pumba nyingi hata mchele usionekane.....

- Logikos
- mdomo siasa sikio
- Replies: 3
- Forum: Jukwaa la Siasa
Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia....
- Wakati hatuna ambulance za kutosha wala mabasi ya usafiri (case in point mwendokasi Dar na fujo za Juzi) bado tunaonyesha tuna mabasi ya kutosha na mengine yakiwa matupu yanazunguka mitaani kabla na baada ya kampeni
- Wakati kuna Taasisi na wanafunzi wanakosa Uniforms bado tunaonyesha umaridadi wa kuweza kuvisha mitaa na sio watu tu kuvaa nguo bali hata miti na Mistimu kuivalisha Mabango....
- Wakati tunashindwa kuchangishana hata tuweze kuweke miundombinu ya UMEME ili ndugu zetu wa Kaskazini waweze kupata Umeme wa Grid na sio kununua toka Ethiopia bado tunaonyesha umaridadi wetu wa kuweza kuchangia Chama Matrilioni ya Pesa
NB: Ushauri wa Bure, Tujue kula na Vipofu..., Huwezi kulia njaa nikija kuomba value for money za Kodi yangu wakati naona wewe Umeshiba...