Siasa itamponza Dk Shoo?

Askofu wa chadema huyo mchaga aliyeshindwa kuzuia mahaba yake kwa chama cha nyumbani.
Duh Yani mpaka askofu na yeye ni mpinzani , vijana wa siku hizi ni shida lakini kuna miaka itakuja vijana ambao watasema tulikuwa na wazee vichwa ndimu Sana.

Yani serikali wapiga 1.5trillon wewe kimya, watu wanatekwa wewe kimya, elimu mbovu wewe kimya, Yani kisa kujengewa rami na hivyo vidaraja kwa kodi yako.
 
Naona wapinzani wa Shoo ni kina Munga ambao pia sio wababaishaji.

Nimependa utaratibu wa KKKT, askofu mkuu anachaguliwa na maaskofu wenzake wa kitanzania sio askofu tuletewe kutoka Vatcan.

Ndio maana China walikataa huo ujinga, waumini wachina, mapadri wachina ila eti wachaguliwe vatcan. Wanaleta tu mtu hata ambae waumini hawamjui. Huo ni utaahira.

Wachague mtu anaekubalika na waumini wanamkubali.
Ww mwanamke umeacha kunyonyesha unarukia ya vatican.Vatican ni mfumo imara dunian ndo maana unatawala.
 
Malalsusa sina imani nae tena, tangu amchukue mke wa muumini wake.l!!
Kama Malasusa hana kinyongo na Shoo, anaweza akashinda. Lakini u must know Malasusa ana kambi yake ya chini kwa chini ambayo inaweza ikaleta upinzani kwa Shoo ambaye naye alitaka kumwangusha Malasusa.
Time will tell.
 
Uchaguzi wa Mkuu wa KKKT unaendelea hadi usiku huu.
Lakini lipo jambo nalisumbukia sana toka mapema juzi kwamba je ukereketwa wa Siasa za Tanzania ulio wa wazi kabisa kwa ma Askofu wa Kkkt utamponya na kushinda tena kinyang'anyilo uchaguzi ule Dk Shoo?
Makanisa hayataki ukanda na visasi, hii si siasa bali ni haki kwa watu wote nchini.
 
Uchaguzi wa Mkuu wa KKKT unaendelea hadi usiku huu.

Lakini lipo jambo nalisumbukia sana toka mapema juzi kwamba je ukereketwa wa Siasa za Tanzania ulio wa wazi kabisa kwa ma Askofu wa Kkkt utamponya na kushinda tena kinyang'anyilo uchaguzi ule Dk Shoo?
Ndio kwanza kumembariki mpaka kapata tena uongozi. Dua mbaya inageuka bahati kwa Dr. Shoo
 
Back
Top Bottom