Siasa iko CCM, wengine wasindikizaji

Siasa iko CCM, wengine wasindikizaji

craaaaap of the day, heri nisingeingia huku
 
huyu dada anauwezo mdogo sana wa kuchanganua mambo anafikiri siasa ni nyimbo za komba iena iena
 
Juliana Shonza

Ni kwa sababu hakuna tofauti kati ya CCM na Serikali, hivyo kwa wananchi ni sawa na kuangalia sura mpya ya serikali. Kama ushindani wa kweli na wa haki wa kisiasa unatakiwa, ni kufuta vyama vyote na kuvisajiri upya ndani ya miaka 5 kipindi ambacho kitakuwa cha mpito na kuongozwa na interim government, na kusimamiwa na UN - kama wakati ule wa kupata Uhuru.

Kama CCM wanajiweza wasingeondoa vyama vingi wakati ule wakiwa TANU.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana usiitafsir hivyo nilivyoitafsir mimi, lakini utakosea kusema kuwa wanazuoni hawatafsir hivyo, naomba mwanazuoni mmmoja ambae anakataa kuwa siasa sio perception, mmoja tu ambae sio wewe.

Pili, umesema kuwa kuna wasanii wanaofanya vizuri kuliko Diamind na akina wema na hawajawa affiliated na chama cha Mapinduzi...naomba kumjua mmoja tu.
Tatizo lako wewe unataka kufanya siasa ni uongo na propaganda. Kwa mfano unatudanganya Diamond ni mwanaccm wakati tuliona mapicha hapa JF na fb na hata magazeti yaliandika Diamond akikabidhiwa kadi ya ACT wasaliti na Ayatullah Zitto.
 
Sasa ndugu yangu, ukiulizwa umechangia nini, unasemaje.? Ni bora hata ungelikaa kimya tu.
Ni kweli uchumia tumbo na njaa unakuponza sana Jully. Si kweli wakati wa uchaguzi mkuu 2010 Afande Sele alikuwa CHADEMA bali alikuwa mwanaccm.Sele alijiunga CHADEMA baada ya uchaguzi pamoja na Prof Jay.
 
Aliowataja kuwa ni vioo vya jamii as per her definition simjui hata mmoja,awe Uwoya,Wema labda Diamond nimewahi kusikia wimbo wake kama mara mbili,sioni ukioo wake kwa jamii.Any way it is a myopic way of thinking.
 
Inawezekana usiitafsir hivyo nilivyoitafsir mimi, lakini utakosea kusema kuwa wanazuoni hawatafsir hivyo, naomba mwanazuoni mmmoja ambae anakataa kuwa siasa sio perception, mmoja tu ambae sio wewe.

Pili, umesema kuwa kuna wasanii wanaofanya vizuri kuliko Diamind na akina wema na hawajawa affiliated na chama cha Mapinduzi...naomba kumjua mmoja tu.

Utakuwa too Naive kama umeshindwa kuwajua wasanii wanaofanya vizuri bila kuwa wanachama wa vyama vya upinzani.

Siasa siyo perception siasa ni pana sana.Na ndiyo sababu kuna masomo yanafundishwa kama political science etc

Kama Afrika tungekuwa tunafanya a rral politics with performance leo tusingekuwa hapa tulipo.Na ndiyo sababu mtu kuingia kwenye siasa ana husisha na uwongo.Lakini siasa is factual with facts and performance.

Siasa is social activity ambayo iko kila mahali kwenye elimu,dini,mazingira,afya nk nk.

Ningependelea kama mtu aliyesomea political science na anaijua vyema basi angetupa elimu hiyo japo kidogo.

Ila kuna wasanii wengi ambao hawana vyama na wengine wako kwenye upinzani wanafanya vyema sana.Na tumewaona wasanii waliojiingiza kichwa kichwa kwenye siasa na wakaanguka moja kwa moja.Leo hatakusikika hawasikiki tena,kisa kuwa makada wa Chama Tawala.

Mifano ni mingi piga akili utawajua tu.
 
Tatizo lako wewe unataka kufanya siasa ni uongo na propaganda. Kwa mfano unatudanganya Diamond ni mwanaccm wakati tuliona mapicha hapa JF na fb na hata magazeti yaliandika Diamond akikabidhiwa kadi ya ACT wasaliti na Ayatullah Zitto.

ACT na CCM sawa tu na UUME na UKE ,zote ni nyuchi
 
Inawezekana usiitafsir hivyo nilivyoitafsir mimi, lakini utakosea kusema kuwa wanazuoni hawatafsir hivyo, naomba mwanazuoni mmmoja ambae anakataa kuwa siasa sio perception, mmoja tu ambae sio wewe.

Pili, umesema kuwa kuna wasanii wanaofanya vizuri kuliko Diamind na akina wema na hawajawa affiliated na chama cha Mapinduzi...naomba kumjua mmoja tu.
mambo dada..... hii ni mithili ya BCBG....... vp jamaa alitaja mafisadi wa USwisi?
 
Pole mdogo wangu rudi shule japo kidogo tu,utajua maana ya siasa.Mnavyoitafsiri siasa inawafanya watu wengine waichukie siasa na waione kama ni uongo fulani hivi.Siasa si hivyo uisemavyo.Na wala huko kwenye CCM wengi wao wala hawaelewi maana ya siasa.
Mkuu, si CCM tu: to be honest, wanasiasa wengi tanzania wakiwemo wa ccm na wa upinzani
+ washabiki wao (wanazi) wamefanya watu wengi wenye busara wasitake kabisa kujihusisha na siasa wala kuikaribia.
 
Mkuu, si CCM tu: to be honest, wanasiasa wengi tanzania wakiwemo wa ccm na wa upinzani
+ washabiki wao (wanazi) wamefanya watu wengi wenye busara wasitake kabisa kujihusisha na siasa wala kuikaribia.

Kwanza kaka betlehem habari za masiku.Pole na Ramadhan.Haya niambie NIA umeshaweka?Maana mie nineaka kuwa mpiga zumari wako tu.

Uyasemayo ni kweli kabisa na sasa sisi watanzania tunaolielewa hilo yatupasa kuwaelimisha wengine.Kuna wengine wamegeuza siasa kama ajira.Siasa si ajira vilevile ndiyo maana tupo busy kutatuta watu badala ya uongozi uliotukuka.

Ninajua miaka mitano ijayo watu wataelewa kuwa siasa zi ajira na siasa ni with performance without performance off you go.

Na kwa sasa tunahitaji elimu hii tuanzie na wale wa Chichiem.

Haya umetangazia NIA wapi kaka.Mtwara,LindI au Nachingwea?Tuhuzane tu.Mameneja tupo tayari kujitolea.
 
Huyu mbwamwitu Juliana shonza bado upo???hujafa tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, si CCM tu: to be honest, wanasiasa wengi tanzania wakiwemo wa ccm na wa upinzani
+ washabiki wao (wanazi) wamefanya watu wengi wenye busara wasitake kabisa kujihusisha na siasa wala kuikaribia.

Ni kweli kabisa ndugu yangu Betlehem, na siasa hizi za kipuuzi kwa kiwango kikubwa zilishamiri toka sitting president alivyooingia madarakani 2005. Ilipofika mwaka 2010 kutokana na aina ya ushindani iliyokuwepo ndio tukashuhudia siasa za kipuuzi kuliko maelezo. Leo hii kutokana na aina ya kipato na fursa lukuki kwa wanasiasa huku wakifanya lolote bila kuulizwa na umma kila mtu ameamua kuingia kwenye siasa na sifa kubwa ni kuweza kufanya siasa za kejeli, matusi nk dhiki ya chama kingine.
 
Inawezekana usiitafsir hivyo nilivyoitafsir mimi, lakini utakosea kusema kuwa wanazuoni hawatafsir hivyo, naomba mwanazuoni mmmoja ambae anakataa kuwa siasa sio perception, mmoja tu ambae sio wewe.

Pili, umesema kuwa kuna wasanii wanaofanya vizuri kuliko Diamind na akina wema na hawajawa affiliated na chama cha Mapinduzi...naomba kumjua mmoja tu.

Prof J na Mr Sugu.
 
Huyu binti ni Takataka; yaani hata hajitambui;Siasa ni swala la Kujua mahesabu. Wapinzani Wanawasubiria CCM Mlete Huyo Mtu Wenu Ndipo Mtaona atakavyoachwa Uchi.

Ndani ya CCM Tunaambiwa Hakuna Ufisadi na Rushwa.Je Inakuwaje leo Ktk Uteuzi wa Mgombea Kigezo Ni Rushwa na Ufisadi.

2010 JK alipokuwa Munduli na Rombo alisema wote EL na Mramba walikuwa safi. Jiulieze Yanayotokea sasa ww Dada.

Kama ni Ukosefu wa Demokras CCM Inaongoza; Ebu Mkateni Kipenzi Cha Wengi Muone ambavyo Mtazigawana Mbao asbh tu.
 
Back
Top Bottom