Siangalii mwanamke mara mbili.

ninahisi kama ninamwamini vile...hahahahahah!!!!vipi Mapi una wasiwasi naye au? hahahahah
jamiif akiri ya kuambiwa changanya na yako, endelea kuwa na imani na mimi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
uktaka jua asemcho JEKI katsha mbele yake ukiwa na kale ka kanga kako tu jamiif
 
Last edited by a moderator:
Karucee eti na mimi mwanaume nkikatza mbele yako itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
...
...Kwani nalipia c bure kuangalia... naangalia hadi niache mwenyewe..na ikibidi namfuata kiume namtongoza...ya Mbinguni nitayakuta huko huko...alaaa
 
aaahh..., hatimae nimekutana na uzi huu mzuri, hongera sana mtoa mada.
na hatimae limeongeleka hadharani kwamba wanaume kuwakwa na tamaa ni mtu mwenyewe na hisia zake.
nilikuwa nikijiuliza sana, kwann wanaume wanawaka tamaa sana? kumbe nimepata jibu leo, ni kujidekeza tu, mkiamua kukauka mnaweza, sasa inakuwaje wengine wanalalamika eti mavaz ya mabinti na maumbile yao yanawakwaza!
si kweli, mmeishapewa mbinu, na isitoshe, mngekuwa hamkodolei macho, hao mabinti wasingevaa kiajabu.

asante sana mtoa uzi, nimetoa dukuduku langu.
 
Chezeya kukodolea mimacho...kina Majuto na Bambo hadi wametoa muvi kwa ajili ya hiyo makitu
 

If a man can not control his body feelings, huyo atakufa kabla ya siku. Tafuta kisiwa cha mawe matupu ukae huko. Kama bado upo Tz ya leo utapofuka macho kuangalia watu wanavyo udhalilisha huu uumbaji.
Jifunze body control
 

Mkuu una mawazo wazuri. Mimi naming nafuata falsafa Hii. Siangalii mwanamke Mara mbili . nasema sidanganyiki n'goo
 

mbona hujagonga kitufe cha like?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…