hivi wewe marejesho unajifanya humjui huyo mume wako au ndo kujishaua???
Kwa taarifa huko anaenda kuwaokota wacheza baikoko ndo maana kwa kukupenda wewe na kuyajali maisha yako nimetuma dume
ndo ipi hiyo shost??nikija arusha unipe sawa??
Maana lisauti langu langu mpaka najishtukia