Siamini tena wanawake wapole

naumia sana kaka
Man ngoja nikupe ushauri wa kiume kabisa . Be a man, this time change gear kabisaaa, usimcheke chekee hovyo. Be straight muite muongee tena ukiwa umeweka uso wa serious, mwambie tabia hiz na hiz aache au kuna mambo anafanya hakufarahishi.

Akikujib kiburi ..mpe option mbili, ajirekebishe au muachanae.
Ukiona aelekei bado anaendelea, kata mawasiliano, break tena ukiwa serious. Najua inakuuma lakin hamna jinsi
 
Ha ha ha. Ana hatari sana jini hilo. Maana huyo atakuwa jini tu
 
Kitu ambacho niko tofauti napenda a man anayenifuatilia na kunipa vimarufuku vya hapa na pale' nguo hii sitaki, mda huu sitaki uwe sehemu fulani, uko wapi, mara kapiga midnight, sijakaa vizuri kapekua simu yangu, niko bafuni naoga kapokea simu. Wivu ule tukikaa 3 anataka akae katikati yaani na enjoy sana
 
Mkuu hulitendei haki hilo jina. Kulingana na jamaa alivyocheza kwenye ile movie hakuwa hata na mpango wa kuoa. Alikua hachunguzi watu ovyo ovyo. Ye alikua anapiga kazi kwenye vibumbu.

Sasa wewe unachunguza watu
 
Upole ndo silaha yao hao
 
Daah madam umetisha.. Mpaka umefanya nikutamani
 
Duuh tafutaga mwingine taratibu ili uweze kumsahau
 
Jaribu kuwa mkali.
Bora kuachana kuliko vituko.
Alafu usimuoneshe sana kama unaumizwa na vitendo vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…