Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

People are free to write anything they feel it's right to write. Wanaume mnaodandia lift za bure acheni kulialia, jifunzeni kupokea changamoto za maandishi kama haya.
Cc hatujakataa ushauri wke ila ukifatilia threads zke utagundua hyu csta ana chuki sana na wanaume!
 
Mwanamama tunasubiri mrejesho wa baba mdogo wa Nancy alivyopiga Mtungo.
 
Ndio maana huwa nasema mwanamke akipata kuliko mwanaume ni mateso kwa upande wa mwanaume
Mwanamke ni bora asipate kabisa mali maana wana dharau sana wanaume wasio na mali
 
Ingekuwa ni mwanaume ameandika hivyo kuhusu wanawake na lift mngesema wanaume hawana huruma. Anyway hii post itanifanya nisiwape tena lift wanawake kwenye gari yangu
 
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Hongera kwa kumiliki usafiri,kuna wengine tuna 30+wazima kabisa still hatujajaaliwa na nauli ya kwendea kazini saa nyingine mtihani na hapo nyuma tuna chain ya watu inatutegemea
Maisha hayafanani,mafanikio hayapimwi kwa umri ulioishi duniani,asante!
 
Hahahaaa. Nimecheka kwa sauti.

Kama wapo basi wanahitaji ushauri nasaha sababu kiuhalisia sidhani kama ipo hiyo. Tena lifti. Mmhhh.
 
Mkuu unataka kila mtu awe na uwezo wa kumiliki ndinga??? Kinachokushangaza kuwa hawana magari ama kupanda gari la kuomba lift???

Hapo mtu anaenda kutafuta kaomba lift akapate chochote kitu aje kula na familia yake je angekaa nyumbani si ingekuwa ni nongwa kubwa sana kwako??

Mwisho sio kama wanakimbilia pia wanapenda lahashaa, ila nao wanataka kuwahi kwenye majukumu yao usafiri ni shida
Duuh! Umeandika kwa hisia ya hali ya juu Kaka ake.

Mzowee tu kritika sababu sidhani kama huwa nyuzi zake zinauhalisia zaidi ya kutaka kuwasimamisha mishipa ya kichwa nyie wanaume wa jf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom