bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 879
Njoo PM nikupe ushauri mubashara pamoja na tiba asilia ili kuondoa/kupunguza stress ulizo nazo.Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??