Siamini kama nimepatwa na kukoroma

Siamini kama nimepatwa na kukoroma

kwa upande wangu tangu nilivyoongezeka kilo basi hii changamoto ya kukoroma imenipata
 
Nilikuwa nawashangaa wanaolala halafu wanakoroma, sasa juzi nilipata fursa ya kuwa jirani na mwenzangu opposite sex.

Nilishangaa ananiambia eti usiku nilikuwa nakoroma, nikabisha Kwa ujasiri wote, siku inayofuata ikabidi anirekodi nikiwa nakoroma.! Dah sikuamini kama ndo mimi.

Hivi hii kitu inasababishwa na nini na nini tiba yake!??

Kibaya zaidi mpaka mchana nikijilaza kidogo tu, naanza korooo korooo.! Dah yamenikuta.!
We ni jinsia Gani?
 
Kumshangaa mtu anayekoroma, kumuasha au kumwambia unapproachable ni kuto kukomaa kiakili na kumfanyia Humiliation, maana kumwambia na kukuamsha haiponeahi hio hali ya yeye kukoroma Oncer mtu hua anakoroma ni atakoroma tu muhimu kujifunza kuwa sisi binadamu tuna miili ya nyama ambayo ina changamoto nyingi.

Kama mtoa mada ulikuwa unawashangaa wanao koroma sasa unajifunza kwa njia ngumu, mimi sikoromi ila sis hangar mtu anayekoroma.
 
Nilikuwa nawashangaa wanaolala halafu wanakoroma, sasa juzi nilipata fursa ya kuwa jirani na mwenzangu opposite sex.

Nilishangaa ananiambia eti usiku nilikuwa nakoroma, nikabisha Kwa ujasiri wote, siku inayofuata ikabidi anirekodi nikiwa nakoroma.! Dah sikuamini kama ndo mimi.

Hivi hii kitu inasababishwa na nini na nini tiba yake!??

Kibaya zaidi mpaka mchana nikijilaza kidogo tu, naanza korooo korooo.! Dah yamenikuta.!
Niliwahi kuwa na girlfriend ambaye aliwahi kunichana kuwa hawezi kuwa/kulala na mtu anayekoroma. Mie niliwahi kuambiwa mara kadhaa kuwa sometimes ninakoroma usiku. Siku ya siku tukalala pamoja na huyo girlfriend........aisee sikuamini kuwa ni yeye aliyesema hawezi lala na mtu anayekoroma maana mie nilishindwa kulala. Alikuwa anakoroma vibaya mno.
 
Nilikuwa nawashangaa wanaolala halafu wanakoroma, sasa juzi nilipata fursa ya kuwa jirani na mwenzangu opposite sex.

Nilishangaa ananiambia eti usiku nilikuwa nakoroma, nikabisha Kwa ujasiri wote, siku inayofuata ikabidi anirekodi nikiwa nakoroma.! Dah sikuamini kama ndo mimi.

Hivi hii kitu inasababishwa na nini na nini tiba yake!??

Kibaya zaidi mpaka mchana nikijilaza kidogo tu, naanza korooo korooo.! Dah yamenikuta.!
Kwahiyo boss unakoroma kama engine ya Supra😂
 
Nilikuwa nawashangaa wanaolala halafu wanakoroma, sasa juzi nilipata fursa ya kuwa jirani na mwenzangu opposite sex.

Nilishangaa ananiambia eti usiku nilikuwa nakoroma, nikabisha Kwa ujasiri wote, siku inayofuata ikabidi anirekodi nikiwa nakoroma.! Dah sikuamini kama ndo mimi.

Hivi hii kitu inasababishwa na nini na nini tiba yake!??

Kibaya zaidi mpaka mchana nikijilaza kidogo tu, naanza korooo korooo.! Dah yamenikuta.!
Kwahiyo boss unakoroma kama engine ya Supra😂ila
Kabisa aisee, usicheke maana haya mambo hayana mwenyewe.!
Dah ni kweli mkuu sema nakumbuka mimi ilikua ishu ya udenda ah ulinitesa sana ila Mungu mwema iliisha

Back
Top Bottom