Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,230
Ndiyo,,,,hanyanyui shingo kwa mto analikunjia kwa chiniKuna jirani yangu kila siku anakoroma, kwahy unataka kusema kila siku analala vibaya.?
Ndiyo,,,,hanyanyui shingo kwa mto analikunjia kwa chiniKuna jirani yangu kila siku anakoroma, kwahy unataka kusema kila siku analala vibaya.?
Pole, bc hujui watu wanaokoromaNdiyo,,,,hanyanyui shingo kwa mto analikunjia kwa chini
Pole yao kwa kweliPole, bc hujui watu wanaokoroma
Sijawahi penda kuwa mwembamba issue ya KG Mbona una uzito wa kawaida Sana..Itakua hapo kwenye issue ya uzito, sio utani nimeongezeka kutoka kg 68 mwaka 2022 mpaka 81 kg mpaka hivi sasa.
Ngoja nifanye mpango wa kupungua uzito.
Shukrani sana mtaalamu.!
B.M.I yangu inanitaka niwe na uzito wa 62 kg sasa huenda uzito wangu kulingana na urefu wako upo normal au over weight kidogo ukilinganisha na mimi.!Sijawai penda kua mwembamba issue ya KG Mbona una uzito wa kawaida Sana..
Mimi mwenyewe ndio KG zangu 80,81,82,83 kg kwa consecative 5years
Labda sabab iwe ingine sio uzito
Mkuu izo kg 80 wew sio mzito trust meSidhani kama ndo sababu maana nilivyokuwa nalala zamani ni vile vile tu, naafiki issue ya uzito kupita kiasi na kutofanya mazoezi.!
Aisee umenivunja mbAvuMwanaume unaogopa kukoroma?
Wakipita wezi nje watajuaje hyo nyumba ina mwanaume?
Mwanaume unatakiwa kukoroma kama power tiller.
Nmemaliza
hahahahahah a kata rufaa bro!Nilikua nawashangaa wanaolala halafu wanakoroma, sasa juzi nilipata fursa ya kuwa jirani na mwenzangu opposite sex.
Nilishangaa ananiambia eti usiku nilikua nakoroma, nikabisha Kwa ujasiri wote, siku inayofuata ikabidi anirekodi nikiwa nakoroma.! Dah sikuamini kama ndo mimi.
Hivi hii kitu inasababishwa na nini na nini tiba yake!??
Kibaya zaidi mpaka mchana nikijilaza kidogo tu, naanza korooo korooo.! Dah yamenikuta.!
Mkuu, walioimba ule wimbo wa "wanaume tumeumbwa matesooo" hawakukosea.Aisee umenivunja mbAvu
Mimi nimetoka 75 to 90 kg ndani ya 2 years baada ya kuachana na mbwa flani.Naona analalamika kiaina kwamba anashindwa kulala.!
Sawa mkuuSidhani kama ndo sababu maana nilivyokuwa nalala zamani ni vile vile tu, naafiki issue ya uzito kupita kiasi na kutofanya mazoezi.!
🤣🤣🤣Kibaya zaidi mpaka mchana nikijilaza kidogo tu, naanza korooo korooo.!