Habari zenu wanajamvi?ihope mpo salama salmini.*clear throat*wanajamvi mimi ni bwamdogo tu wa miaka 22 hivi ambaye nimemaliza form 6 mwaka jana ila mwezi huo unaokuja wa nyerere ndo nitaanza chuo.Katika kipindi hiki nipo home nilikua najishughulisha na kuimport used smartphone na kutengeneza hzo samrtphones kwa upande wa software and yeah im a geek guy..kwakua nilikua na Mabudda wangu kibao mavyuo na wananijua kua mimi ndo mkali wao katika yale mambo ya simu basi nikawa na connection kubwa ya kuuza na kutengeneza simu japo nilikua sina ofisi..kitu ambacho sitokisahau katika ufundi huu wa simu ni kua ulinipa urafiki na uhusiano na wanawake wengi sana tena wazuri,nilijiona kama nimekua attractive ghafla japo mwanzo nilikua naonekana boya,pia ufundi huu simu ndo umenifanya niget laid kwa mara ya kwanza,pia ufundi huu simu umenifanya nile mzigo wanawake ambao hata wao hawakuawahi kutegemea kama ataliwa na mimi...just a little knowledge and much confidence and you can get any P..
Mkuu mimi ni mtundu tu wa mambi hayo
Habari zenu wanajamvi?
I hope mpo salama salmini. Wanajamvi mimi ni bwamdogo tu wa miaka 22 hivi ambaye nimemaliza form 6 mwaka jana ila mwezi huo unaokuja wa Nyerere ndo nitaanza chuo.
Katika kipindi hiki nipo home nilikua najishughulisha na kuimport used smartphone na kutengeneza hizo smartphones kwa upande wa software and yeah i m a geek guy.
Kwakua nilikua na Mabudda wangu kibao mavyuo na wananijua kua mimi ndo mkali wao katika yale mambo ya simu basi nikawa na connection kubwa ya kuuza na kutengeneza simu japo nilikua sina ofisi.
Kitu ambacho sitokisahau katika ufundi huu wa simu ni kuwa ulinipa urafiki na uhusiano na wanawake wengi sana tena wazuri, nilijiona kama nimekua attractive ghafla japo mwanzo nilikua naonekana boya, pia ufundi huu simu ndo umenifanya niget laid kwa mara ya kwanza, pia ufundi huu simu umenifanya nile mzigo wanawake ambao hata wao hawakuawahi kutegemea kama ataliwa na mimi just a little knowledge and much confidence and you can get any P
Ndo shida ya kusoma mkiwa wazee at 22 nilikuwa nagraduate.we form six nkajua utasema umekusanya pesa ya kujikimu kumbe unahara. Na mkish fika vyuo bodi isiwape pesa mnaaza kugoma.
Either you are missing something in that splendid("so you think") lifestyle of yours or just being another armature attention seeker( wanna be) or wishing your life was like that...
But gathering from experience that , the kind of women who will sleep with someone who fixes their phones( +with calculations of total of all men who fix stuff for them, sells products and services to them, helps them academically, socially and financially?)
How on earth do you call that a win?
All that aside, I still I don't understand why are you telling us this...
Bcoz its only place we dare to speak openly...
Na siku ukipata ukimwi ulete mrejesho humu.
Unaona tabu gani kumwambia kuwa anazimikiwa na visungura tope tu .Za ukweli hazitusuliwi kwa mwendo huo kwanza hawanaga simu gonjwagojwa ,simu ikisumbua tu huwa wanaturudishia na kututaka(nasisitiza kututaka sio ombi)tuwanunulie nyingine tena kali kuliko ya kwanza wakati mshua mwenyewe niko katika mwendo wa nokia tochi kukwepa majanga ya kufumaniwa kimtandao,maana hawachelewi kukurusha whatsap na facebook wakakuanzishia ngondo na waifu!Ok nimekucopy ila sio wote. Tatizo baadhi ya mwanawake ni wavivu sana.