Si uungwana kuzungumzia mambo ya uzinzi mbele ya Mke wa rafiki yako

Si uungwana kuzungumzia mambo ya uzinzi mbele ya Mke wa rafiki yako

Mgaratia Wa bongo

Senior Member
Joined
Oct 4, 2020
Posts
104
Reaction score
127
Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi nafanya kazi.

Sasa aliponiambia amepata anakuja kuripoti nikamwambia afikie kwangu Cha ajabu Sasa jamaa nimempokea jioni Ile akawa analeta story za Fulani kakamatwa akiwa na Mke wa mtu mbele ya wife, mara aanze kuongea romantically mbele ya wife. Baada ya kumgundua mshikaji nilimwambia tafuta chumba maana maisha ya mjini ni GHARAMA sana.

Akawa analalamika Hana hata pesa ya kuanzia maisha nimwambia amwambie boss wake kuhusu matatizo yake. Baada ya siku mbili mbili akapata chumba na kwanda zake na Mimi na wife tukawa kuondoka asubuhi kwenda kazini kurudi saa nne usiku. Vijana badirikeni mnapokaribishwa kwa watu mjiheshimu na sio kuwa na fikra za kizinzi kizinzi.
 
Alikuwa anamtaka mkeo

Maamuzi uliyochukua kwa upande wangu ulikuwa sahihi asilimia 100 yaani nakuunga mkono na mguu kama kifungashio
 
Back
Top Bottom