Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Mkuu.@Enzymes dawa yangu ya kutibu vidonda vya tumbo nikikupa ukitumia ni muda wa siku 30 utapona na utakula chakula chochote kile bila ya wasiwasi. Dawa yangu ni ya uhakika kutibu huo ugonjw awa vidonda vya tumbo aka (ulcer). Kam kuna mtu anahitaji au wewe una hitaji unaweza kunitumia kwa Email aka baruw aya pepe Email address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza kuni add kwenye What's App au Viber account namba yangu hii hapa +90-534-450-8169 ili tuweze kuzungumza Live asante .Nimekumic mm bhana, ebu tuletee ya Vidonda vya Tumbo bhana watu huku mitaani wanatapeliwa na Herbal Clinics/Hospitali hawaponi.
Tafadhali sn, shule yako huwa ni nzr sn. Japo mm sina ila naweza jifunza kujikinga.
Ahsante mkuu. Shule pia tunahitaji, chanzo, dalili, tiba, nk. Pia uweke namba ya kibongo mhe: O767/0786/0713......Mkuu.@Enzymes dawa yangu ya kutibu vidonda vya tumbo nikikupa ukitumia ni muda wa siku 30 utapona na utakula chakula chochote kile bila ya wasiwasi. Dawa yangu ni ya uhakika kutibu huo ugonjw awa vidonda vya tumbo aka (ulcer). Kam kuna mtu anahitaji au wewe una hitaji unaweza kunitumia kwa Email aka baruw aya pepe Email address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza kuni add kwenye What's App au Viber account namba yangu hii hapa +90-534-450-8169 ili tuweze kuzungumza Live asante .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] BAK una mzio na wafu? Natamani siku moja nikuchukie ziara ya mochwari kisha tukamalizie makaburi ya MsataHuo wa leo afadhali Mkuu, kuna mwingine aliuanzisha juzi sikumbuki jina lake. Nikajua tu ule uzi utakuwa unatisha nikaamua niufungue kulikuwa na mapiccha ya ajabu ajabu nikaachana nao haraka sana. Threads za mshana jr siku hizi naziangalia mara mbili mbili kabla ya kuamua nizipotezee au nizifungue.
Hapana sidhani ni maarifa ya pamoja na kila mmoja wetu anaweka anachofahamumshana jr umemfunika MziziMkavu siku hizi kwa habari za kiroho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] BAK una mzio na wafu? Natamani siku moja nikuchukie ziara ya mochwari kisha tukamalizie makaburi ya Msata
huko msata napaona ukipataja taja sana, kunani huko mkuu?
pengine..lol! labda ndiyo hukutana na wataalam wenzie wa haya mambo.
Duu sasa mimi nimelala nazo mochwari zaidi ya mwaka na nyingine nimezibutua mno kwa kibiriti cha gesi kwenye yake matanuri ya kuchomea (sio hapa nchini lakini )na nilikuwa nikimaliza nagonga msosi kama kawa tena hata nyama choma....nikikumbuka yale maisha najiona kama sio mimi [emoji144] [emoji144] [emoji134] [emoji85] [emoji87]Hutanipata Mkuu kuna best wangu dada yake alikuwa akisafiri na bus kwenda Mbeya basi wakapata ajali Chalinze, Walikufa watu 15 basi ikabidi yeye na Kaka yake waende kuangalia dada yao kama ni mmoja wa majeruhi au ni mmoja wa wafu. Baada ya kumkosa dada yao wodini kwa uzembe wa hospitali basi ikabidi waingie mochwari. Kule mochwari maiti ziwewekwa hovyo hovyo tu kwenye sakafu unanza kutupia macho moja baada ya nyingine kumaliza pale wakaingia kwenye majokofu hola hawakuona kitu ikabidi warudi tena wodini na kumkuta dada yao akiwa kaumia lakini si wa kukata roho. Jamaa aliporudi MUJINI kile kitendo cha kuona wafu chungu nzima kilimchannganua sana ilimchukua kama miezi miwili kurudi katika hali ya kawaida. Wakati mwingine nilikuwa namuangalia tu na kuona huyu jamaa hayuko sawa halafu alikuwa hawezi hata kuhadithia akihadithia kidogo anasita na kutotaka kuendelea tena. Acha wengi wa walio hai wawaogope wafu Mkuu.
mkuu ujue nashindwa kukujengea picha, shughuli unafanya ktk ofisi za kisasa kama za vibopa wa tra au ktk vibanda vya udongo kama vya kule kwetu kizinga, picha haiji kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kilinge ni chimbo nina historia napo muda ukifika nitasimulia japo si hivi karibuni
(...)(...)(...)(...)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu ujue nashindwa kukujengea picha, shughuli unafanya ktk ofisi za kisasa kama za vibopa wa tra au ktk vibanda vya udongo kama vya kule kwetu kizinga, picha haiji kabisa
[emoji15] [emoji15] all in all hongera mkuu, unajitoa sana kwa wadau humu, ubarikiwe mkuu(...)(...)(...)(...)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndugu nakuuliza swali naomba unijibu .[emoji122] appreciated n humbled kaka asante
KUna vitu gani mkuu kesho niende time hzonenda ile stand ya daladala ya zamani ya arusha mjini pale usiku kuanzia saa 6 ujionee mambo ya ajabu.lile eneo nalo walihamisha makaburi