Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,020
- 4,698
Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi.
Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni siku ambayo mashirika ya ndani na nje yanayohusiana na wafanyakazi ukaa kwa pamoja na kuibua mambo Mtambuka kuhusu hatima ya ajira Duniani.
Ni fedhea kualika mashirika ya kimataifa na wasomi mbalimbali sambamba na mkuu wa nchi then unakuwa na mc anayeadvocate mambo ambayo yanatweza utu wa watoto.
Katika maadhimisho ya siku hii siyo sehemu ya kupitisha agenda za propaganda. Kwamba watumishi wanatumia kodi za wananchi kwenda Arusha kusikiliza stori za wadudu? Kwamba hiki ndicho vyama vya wafanyakazi walichomwandalia Mhe. Rais?
Mimi nampongeza Mhe.Rais kutokushiriki haya matamasha ya leo kwa sababu angeonekana amekosa vision. Lazima ifike mahali baadhi ya mambo yakemewe na kudhibitiwa.
Viongozi mnapopewa dhamana ya kuandaa ujio wa viongozi wa Kitaifa jaribuni kuwa serious kidogo. Huwezi katika hali mbaya ya uchumi ukamwambia Mhe. Rais akae jukwaani ashuhudie wadudu wanapita......its shamefully to the government.
Tunalia uchumi umedorora then maandalizi ya wafanyakazi nchi nzima yanakuwa kuruhusu wadudu?
Au labda Arusha kuna watu wanaloga viongozi washindwe kufahamu ni kitu gani wameandalie Mhe. Rais na kitu gani wawandalie wana fiesta?
Kwamba leo angekuwa JPM tungepata muda wakikimbizana na wadudu?
Vijana wametafuta brand yao waache waendelee wewe ratua kero za barabara na miundombinu ;....wadudu it's not a national strategic thing