Si kweli kwamba wanawake wanapenda Mwanaume mwenye Pesa, wanapenda Mwanaume anayejielewa

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Sio kweli kwamba wanawake wanapenda wanaume wenye Pesa hizo ni kauli za visingizio zinatoka kwa wanaume wanaoshindwa kutimiza wajibuwao.

Wanawake wanapenda mwanaume anaejielewa na mwenye future ya uhakika hata kama life halijakaa kwenye mstari lakini aone unafanya mipango yenye akili sio kila mwaka kauli ni zilezile nina mchongo ninausikilizia alafu no results.

Ushauri wangu wa bure hata kama wife kakupiga bao kwenye kipato usiache kuwajibika hata kwa kidogo ulichojaliwa.
 
Lkweli kabisa.....naunga mkono hoja wanawake wako hivyo !!!
 
Sio kweli kwamba wanawake wanapenda wanaume wenye Pesa hizo ni kauli za visingizio zinatoka kwa wanaume wanaoshindwa kutimiza wajibuwao.

Wanawake wanapenda mwanaume anaejielewa na mwenye future ya uhakika hata kama life halijakaa kwenye mstari lakini aone unafanya mipango yenye akili sio kila mwaka kauli ni zilezile nina mchongo ninausikilizia alafu no results.

Ushauri wangu wa bure hata kama wife kakupiga bao kwenye kipato usiache kuwajibika hata kwa kidogo ulichojaliwa.
Hao wanawake wenyewe hiyo "mipango na future ya uhakika" wanayo? Au mipango yao na future ndo kuwa na mwanaume mwenye mipango na future!?
#KATAANDOA #KATAAUTAPELI
 
Siyo kweli, Mwanamke hufanya maamuzi kwa hisia zaidi ya akili. Ni wanaume pekee wanaotumia akili kufanya maamuzi.
Hisia zao ni kali sana ....kuna wakati mwingi huwa sahihi.....wamepewa power kwenye hisia .....sisi akili zaidi no hisia ....tunataka uhalisia ndio tunaamua
 
mbona unajichanganya mkuu.kama nikimwambia kunamchongo nausikilizia sindio fiucha yenyewe hio?

fiucha isipotiki inabidi avumilie hata miaka kumi sio aondoke.akiondoka inamaana hapendi wanaume wenye fiucha anapenda wenye hela.
Dah nikweli but point nikuwa hastle za janjajanja zizisotoa uhakika kwa familia na huku uwezo unao ndo shida....kuvumiliana ni muhimu ila je kama mwanaume unajua nafasi yako ktk familia na jamii inayokuzunguka au uvumiliwe huku hela unatombea malaya na kulewesha wana
 
Wewe unawasemea wanawake Kama Nani?
Nijuavyo kila mwanamke Kuna kitu kimoja kiñachomvutia kwa mwanaume.
Mfano. Mkurya anavutiwa na mwanamme mkorofi.
Mnyamwezi anavutiwa na mwanamme mstaarabu, usipokua mstaarabu limbwata linakuhusu.
Mmachame anapenda mwanamme wa kimasai.
Mmakonde hachagui kwani ndoa zao hazidumu.
Msambaa anapenda mwanamme aliyezoea kubeba lumbesa Kariakoo ili akiwekwa MTU Kati ananihii haraka.
Mzaramo na mkwere hawachagui ili mradi tu siku ya ngoma umruhusu.
Mnyakyusa ukimruhusu afanye biashara za kusafiri hata Kama huna nguvu za kiume ndoa itadumu.
 
Wanawake hawana uwezo mkubwa wa kugundua yupi ni Mwanaume sahihi kwake tofauti na sisi Wanaume.

Sisi hatuna demands nyingi kwao tofauti na wao kuwa demands nyingi kwetu.

Sisi kitu kimoja tu kinaweza kutoa jibu kuwa huyo Ke anafaa au hafai mfano ishu ndogo ya Mavazi, Ulevi, Upishi, Heshima etc.. kitu kimoja kati ya hivyo nilivyotaja hapo kinamuharibia kabisa Mwanamke. Hii ni tofauti kwa Mwanaume.

Wao wanaangalia leo na kesho tu hawaangalii kesho kutwa na wiki ijayo itakuwaje.
 
Sio kweli kwamba wanawake wanapenda wanaume wenye Pesa hizo ni kauli za visingizio zinatoka kwa wanaume wanaoshindwa kutimiza wajibuwao.

Wanawake wanapenda mwanaume anaejielewa na mwenye future ya uhakika hata kama life halijakaa kwenye mstari lakini aone unafanya mipango yenye akili sio kila mwaka kauli ni zilezile nina mchongo ninausikilizia alafu no results.

Ushauri wangu wa bure hata kama wife kakupiga bao kwenye kipato usiache kuwajibika hata kwa kidogo ulichojaliwa.
Utajielewa vipi wakati Hauna pesa ,...

Mambo ya kusema mwanaume anayejielewa means Ni mwanaume mwenye mipango ya biashara maana yake Huyo anapesa ...

Kama Hauna pesa hauwezi kujielewa ...
 
Siyo kweli, Mwanamke hufanya maamuzi kwa hisia zaidi ya akili. Ni wanaume pekee wanaotumia akili kufanya maamuzi.
Hapa sikusema mwanamke anatumia akili ila yupo makini zaidi kusikia na kuona alichokilenga inapotokea tofauti ni bahati mbaya.....ipo hivi wakati wakuanzisha mahusiano option kuu ni mbili utumie akili au hisia coz unakuwa unabet so umakinini kumtambua mpinzani na kumchambua vizuri hata kama utumii vigezo sahihi....sasa cc mens mara nyingi ni mihemko inatuongoza na ili tusikosee hapo tukapewa amri kuu mbili kumpenda mke na kutumia akili coz yeye ni mtii na makini katika kufata matakwa yetu....
 
........kwa namna fulani unaweza kuwa sawa, ingawa binafsi nilipofuatilia nilibaini kuwa tafsiri ya mwanamke ni kuwa mwanaume mwenye akili, mipango, future na anayejitambua ni yule mwenye pesa(pesa=promising future).......
..........nadhani tukubali tu kuwa ukiondoa akili za darasani, akili halisi kwa sasa zinapimwa na uwezo wa kushika pesa na asset nyingi........
.......kuna ukakasi sana kusema maprofesa pale UD wanaongoja teuzi za kisiasa eti wana akili kuliko Dangote au hata Mo, tutafute pesa tu, always women are after green pastures, na hiyo ni nature coz wameumbwa kulea familia, so wanahitaji security tuwaelewe na tusiwalaumu...........
 
Hisia zao ni kali sana ....kuna wakati mwingi huwa sahihi.....wamepewa power kwenye hisia .....sisi akili zaidi no hisia ....tunataka uhalisia ndio tunaamua
Pia in most case za kimahusiano katika familia au uchumba wanawake ndo huwa wa kwanza kuviona viashiria vya hatari au heri coz hisia zao nikali mno na ni swala la nature kuwa wana uwezo mkubwa mahali hapo...
 
Mererani tunasema umeamua kukoroga ngazi.
Wapo wanaume kibao wana kazi nzuri pesa ya kuishi ipo ila wana mwaka 10 mjini hata kiwanja hana zaidi ya kagari kakutembelea na geto kapanga ila hao wanawake wanatoana roho kumgombea.
Mwanamke wa mjini anataka pesa hakuja mjini na shamba na haishi kwa kutumia oxygen kwa kila kitu, anahitaji pesa kujikimu.
 
Back
Top Bottom