Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
Hebu kaache kwanza kauwashe moto, ili kakiungua kaujue vizuri. Nadhani kama sahau kuwa kikosi cha ulizi (halisi) wa babu kimejaa wajukuu wanaojua kazi zaidi ya Majembe Auction Mart (Wazee wa kazi)! Laiti kangembuka kuwa inapofikia wakati wa majuto huwezi tena kurudisha saa nyuma!
cc: Kasinde
Last edited by a moderator: