Si kubwa ila

Si kubwa ila

Naomba pambano

Mmmh weewee mpambano wangu balaa, huwa natoa watu NC yaani no count au KO knock out. Jiandae na mazoezi ya kutosha, mpambano wa Kasie si wa kitoto.
 
Mkuu naona ujakutana na takoz lile ndembwe ndembwe halaf mtoto uwe unampiga mbuzi kagoma..dadeeki unaweza ukasema hamna kufa jinsi linavorespond ukiwa una 'pump in n out' aisee kula raha yake jamani halafu ukiwa umelibinjua kama chenza...daaah mi vijipu vinisamehe tu..

Hahahahaaa...kiongozi naona ushavuta hisia hadi basi. Usije kimbilia bafuni tu mchana huu..!
 
Hahahaa polee kwani bado uko kanisani? Mi niko home nje nashangaa jua limezungukwwa na mduara wa upinde wa mvua.

Jamani jumapili yote hii...lol
Mnatupa genye balaa huku..!
 
Nimetoka harusini leo hizi
meza za kukaa tuu watu hamjuani, sherehe si ya ndugu ni zile za
kuchangia tuu.

Pembeni yangu wako wadada 2 yaani walikuwa wanapiga story mwanzo mwisho,
walishiriki kwenye sherehe saa ya chakula tuu muda mwingine
wanastorisha.

Mmoja anamwambia mwenzake, yaani pamoja na kuwa langu si kubwa ila bwana
kampa compliments kwa kujua kuroll it, he cried am telling u, she keeps
on telling her friend. The guy want another time hahaa ( akawa
anajisifia) sura yangu ya bati, la kwangu dogo ila kujua kuliroll
hahahaa limemnasa ndege tunduni na hachomoki hapa.

Nikajisemea tuu wanaume mna kazi, mara makubwa yawatoe mate udenda na
kugawa pasiwedi za ATM, mara mkirolliwa na madogo mtangaze nia.

Thank God nilizaliwa mwanamke, nafa...a na utamu napata.

mmmmm???????
 
Mmmh weewee mpambano wangu balaa, huwa natoa watu NC yaani no count au KO knock out. Jiandae na mazoezi ya kutosha, mpambano wa Kasie si wa kitoto.

ha ha ha
nipigie...kasiii nipigie
 
Hapa kubwa ni wenzere dogo ndo ile tunajifariji kuwa mwanamke ni nyonga wenzere uzito tuu. Haya hapo umeelewa babu?
Shimo la panya halizibwi kwa mate, hahahaa raha sana kuzaliwa mwanamke. Sasa ukutane na mwanaume anataka kulijaza shimo kwa mate hahahaa utamuonea huruma anavohaha. Kasie mie mnizoee tu
We mtoto umeshindikana.... next tme ntakutia na bakora ya makalioni mwako.....
 
Tangu hapo najua wewe ni sukari ya warembo wa JF, mie na zawadi mbali mbali hapo hata hujanisononesha. Ukiniambia nashikilia pasi yako ya kusafiria usitoke nje ya mipaka ya TZ, ntakuja hata kukuramba miguu unirudishie, nnavopenda vacation kuliko hata chocolate...fyuuuu Sea Shells this tyme.
hehehe!!! nitawapa wengine wote lakini si wewe kasie
 
We mtoto umeshindikana.... next tme ntakutia na bakora ya makalioni mwako.....
Hahahahaaa babu Asprin bana, hivi kwanza mzee mwenzio babu Dark City yuko wapi?
Mie nlishashindikanika tangu home, mata** yameota sugu kwa kucharazwa bakora. Naionea huruma bakora yako maana najua itajeruhiwa na ma**ko ya Kasie....
 
Last edited by a moderator:
Tangu hapo najua wewe ni sukari ya warembo wa JF, mie na zawadi mbali mbali hapo hata hujanisononesha. Ukiniambia nashikilia pasi yako ya kusafiria usitoke nje ya mipaka ya TZ, ntakuja hata kukuramba miguu unirudishie, nnavopenda vacation kuliko hata chocolate...fyuuuu Sea Shells this tyme.

Hahaha!!! Kasie kipenzi una maneno weye loh!!

Miye nilimaanisha weye wapaswapewa zawadi za 14 Februari hizi za Xmas waachie watoto atii...

Halafu huko wataka enda ni kama paradise...sijui kama utatamani kurudi Umatumbini huku...
 
Back
Top Bottom